Ata ka mwamba ndo anamakosa bt mwanamke/ mke hutaondokaje nymban/ kwako bila taarifa afu mbaya Zaid unakusanya vitu/ vyombo vya ndan! Hii kitaalamu inaitwa wizi wa kuaminiwa!!

Hapo usikute huyo mke kavumilia maupuuzi yako akawa anakulia timing tu. Tena kakosea saana. Kama ni nyumba ya kupanga, baada ya kubeba vitu. Angerudisha ufunguo kwa mwenye nyumba