Changamoto za ndoa

Mfungulie kesi ulipoondoka uliacha ela million 50.
Kachukua vitu vyote pamoja na ela. Wewe dai pesa zako million 50 arejeshe
 
siku hizi simshauri mtu kuoa. Mtu under 35 akiniomba ushauri huo namwambia eitha aachana na hilo janga au atafute washauri wengine
 
Kuna kisa kimoja cha dogo mtaani, yy alioa mapema sana akiwa mdogo around 20yrs, 2015, alifanikiwa kupanga chumba na sebule kikiwa full yaani kila kitu.

Alimfumania mke wake mara mbili chumbani kwenye kitanda wanacho lala na mkewe, mara kwanza jamaa akamsamehe mkewe baada ya wazee kumsihi, mara ya pili ktk kitanda kilekile na jamaa yule yule akamfumania mkewe, jamaa akamwambia achagu chochote anachokitaka aondoke nacho. Demu akaamua kumkomoa kwa kuchukua kila kitu, yaani hakuuacha kitu.

Yule dogo akaanzia 0,akaenda kwa mjomba wake akamuomba mkeka,jamaa kalalia mkeka, baada ya mwezi akavuta kitanda na mpaka sasa kishanunua kila kitu na mwaka jana kaoa mke mwengine. Maisha yana endelea, yule binti baada ya mwaka mmoja akawa mtu wa starehe, mpaka kufikia hatua ya kujiuza maeneo ya Ubungo Riverside, sasa hivi ana mimba na mwenye mimba hajulikani basi yupo yupo tu.
 
Siku utakapokufa ni siku utakapokosana na mwanamke halafu ukahitaji akuachie vitu/vyombo vya ndani.
 
Malipo ni hapahapa chini ya jua
 
Sikiliza hii
Your browser is not able to display this video.
 
Mliooa, siku hizi usiku muwe Mnalala kwa machalemachale. Ni hivi punde tu nimesikia Kuna dereva mmoja wa mabasi ya mikoani amelambwa marungu ya kichwa na mkewe na kusabanisha kifo chake. Global.
 
Mliooa, siku hizi usiku muwe Mnalala kwa machalemachale. Ni hivi punde tu nimesikia Kuna dereva mmoja wa mabasi ya mikoani amelambwa marungu ya kichwa na mkewe na kusabanisha kifo chake. Global.
Kulea mke asiye damu ya ukoo wako no kazi sawa na kulea Simba chumban mwako
 
Mpuuzi sana. Kaoa tena mwingine teari? Wanaume ni wajinga sana. Badala sasa atulie ajifunze kwa makosa yake ya ndoa yake ya kwanza ajijenge vizuri, anakimbilia kupa tena.
 
Acha mambo ya ajabu. Kwani enzi za mababu zetu si ndio walikuwa wanafanya ty hivyo? Na ndoa zilidumu? Kwani hao wanaofanya maharusi ya mamilioni ndio ndoa zinadumu? Fikara za mtu kama ww ndio maana matalaka kila sehemu.
Haina hadhi ya kuitwa ndoa bwashee, usichukulie poa neno NDOA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…