syli mchunguzi
Member
- Jul 14, 2021
- 49
- 42
Mpelekee talaka zake zote, kisha muachie kila kitu anza upyaMfano una mke mumeishi nae kwa pamoja na kuvuna Mali kwa pamoja ghafla ww umetoka kwa safar siku unarudi unakuta ndan peupe yaan kila kitu kimechukuliwa na mke na kutokomea kusikojulikana baadae ukapata taarifa ya eneo alilokimbia .je,utafanyaje kukabiliana na hiyo changamoto????
OkAchana nae tafuta vingine.
Ipo siku atarudi kwa magoti na machozi...then unamtimulia mbali!!!!
OkDuh.pole ila elezea kwa urefu kidogo.
Ila ripoti kwa wazazi wenu..wadhamini wa ndoa..mjumbe au serikali za mtaa ..maana HUWA WANARUDIGI KUSUMBUA UKISHAMOVE ON.
Cha mwisho kama ni vitu vya kutafutika..unaweza vipata tena achana nae
Mkuu haijufungwa Bali walikutana tu wakaoanaHiyo Ndoa toka imefungwa ina muda gani? Imefungwa kwa Misingi IPI?
Je, kuna Mgogoro wowote uliokuwepo baina yenu na haukupata Suluhisho?
Ikiwa mlifunga ndoa mpe talaka na mwachie hivyo vituMfano una mke mumeishi nae kwa pamoja na kuvuna Mali kwa pamoja ghafla ww umetoka kwa safar siku unarudi unakuta ndan peupe yaan kila kitu kimechukuliwa na mke na kutokomea kusikojulikana baadae ukapata taarifa ya eneo alilokimbia .je,utafanyaje kukabiliana na hiyo changamoto????
Pole sana Mzee.., labda alichoka kuwa Hawala Sugu, na kila akikucheki kwenye side Mirror anaona huna dalili za kusimama, akaona ajioengeze..,Mkuu haijufungwa Bali walikutana tu wakaoana
Nenda police kaandikishe maelezo atafutwe apatikaneMfano una mke mumeishi nae kwa pamoja na kuvuna Mali kwa pamoja ghafla ww umetoka kwa safar siku unarudi unakuta ndan peupe yaan kila kitu kimechukuliwa na mke na kutokomea kusikojulikana baadae ukapata taarifa ya eneo alilokimbia .je,utafanyaje kukabiliana na hiyo changamoto????
Mke Mmoja Analemaza AkiliMimi nowdays nna wake wengi sijui idadi yake,maana ma bar maids ni wake zangu.
Kuishi na mwanamke permanent ni kazi sana.