Changamoto za kuoa wanawake wawili!

Ubaharia ni kazi ambayo muda wote upo active na kwenye Sea Food utakula sana mpaka mwili ujae madini.

kabisa sio wala kfc mara siju merry brown alafu unataka kugegeda wanawake wengi uta float tuu. pata samaki prawns demu lazima akubali mapigo.
 
Binafsi nina wake wawili na nyumba ndogo zingine nje lkn wote nawamudu kuwakojoza. Vp mm unanitafsiri vipi hapo.

wee inabidi uitwe mwanaume wa ukweli. tembeza mgegedo mwanawane ndio raha ya dunia.
 
Sidhani kama nitakuja kufikiria kuishi na mke mmoja. Pamoja na umri wangu huu mdogo lakini nina wake wawili. Na wote wanaishi sehemu moja kwa kujitegemea mm.


Onyo! Kipato cha kuishi nao wote ninacho.
 
Mke awe mmoja au wawili changamoto zitakuwepo, ukimudu zaid ya mmoja sawa na ukishindwa baki na mmoja.
Usijaribu kuoa mke wa pili kwasababu wa kwanza kakushinda tabia hapo utapata tabu sana.
Halafu kuna wa kuoa na kuishi nao, oa mwanamke na sio mpenzi wa kukuondolea nyege zako, na mke olewa na mwanaume na sio mpenzi wa kukufanya.
Kila anayeoa/ kuolewa angejua maana ya kitendo hicho basi haya mnayolalamikia yasingetokea lakini kwakuwa mnatamaniana tu basi mke mmoja au zaid ni tatizo kwa walioa/ kuolewa kama fashion.
Kuna watu wanafikishwa mlimani kila siku ila tamaa nyingine za mahitaji ndio zinawafanya kuchepuka na sio tatizo la kufikishwa.
 
Nakubaliana na wewe kwamba tofauti za hapa na pale zipo si kwenye mapenzi tu kwenye suala lolote zipo. Najua unaelewa hapa ni kipi ninachokimaanisha.

Na kusema kwamba hamna mwananume anayeelewa hulka yenu ninyi mnabadilika daily tayari hiyo ndiyo mojawapo ya hulka yenu ambayo tunaitambua.

Samahani mda wangu ni mchache sina la kuandika zaidi. Kingine una jina zuri.
 
Watenganishe wawe mbali kidogo.

Jaribu kufuta timetable isiyoeleweka ili kuwapa surprise ila usiegemee upande mmoja.

Jaribu kuwaanzishia miradi midogo midogo ili waweze kujikimu mahitaji madogo madogo kama chumvi na sukari.

Watoto wawe wanainterchange wengine wanaenda kwa bi mkubwa na wengine kwa bi mdogo hasa kumsaidia shughuli ndogo ndogo.

Kama wanaishi under one roof kila chakula kinapopikwa lazima mkila pamoja as a family regardless kimepikwa wapi.

Family activities jaribu kuzifanya kama joint issues za wote

Wanapogombana jaribu kuwa neutral ili kupunguza misigano zaidi
 
Bora hyo sio unaoa huku kuwaridhisha kimwili huwezi walah hafu watoto wanakuwa vzuri at peace. Hafu kuna mwenye wake wa NNE atachepuka pia loh hapo usemeje
Unahamasisha zinaa?? Tumeamrishwa tusiikaribie zinaa....
 
Hakika mkuu. Unadhani tukiishi kwa kuhudumia mwanamke mmoja . Wanawake wengi si watakosa huduma.

hilo ndio la msingi na ndio maana wengi wao ni wauza nyapu....sasa bora tuwachukuwe tuwage tunawagegeda na kuwahudumia
 
Binafsi nina wake wawili na nyumba ndogo zingine nje lkn wote nawamudu kuwakojoza. Vp mm unanitafsiri vipi hapo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe ni mhuni walah uliyekubuhu utakuja kufia kwenye papuchi
 
Hamna anayetuelewa sisi wenyewe tu mda mwingine hatuelewi tunataka nini sembuse nyie.


Heeeh kumbe my name zuri thanks
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe ni mhuni walah uliyekubuhu utakuja kufia kwenye papuchi
Siwezi kufa. I'm perfect 100% kwenye suala zima la kugegeda. Hayo tunasema ni maumivu matamu. Kwahiyo ninachokifanya nakijua mama.
 
Siyo kweli
 
Mwanaume hawezi kuuliwa na wanawake wawili tu unless kuwe kuna intervening factors zingine tu
 
Nyie ndo mwapenda zinaa
Unahamasisha bora kuchepuka kuliko awe na wake wawili wa ndoa, ndo ninakwambia Unahamasisha zinaa... Hayo mengine yametoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…