Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

[emoji23][emoji23][emoji23]Mungu wangu!usidhan ndoa ni lelemama mkuu..eti mtatumia zako[emoji23][emoji23][emoji23]..nakushauri usioe tu basi

Dada shemeji usiogope, za kwangu zinatutosha wawili [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakika.

Mabinti wa miaka 25-30 wengi wan watoto bila ndoa. Kumkuta mwakamke ana miaka 30 na hana mtoto ni nadra sana.

Kwa mimi ambae msimamo wangu ni kutokuoa single mom, inanipatia shida sana ingawa mimi bado sijafikia senior bachelor.
Wewe pia sio single father?
 
Kumbe wewe ni Dr?
 
36yrs + kama hujaoa mara nyingi unakuwa "pasua kichwa" sana.
1. Unachagua sana, ni ngumu kurudi nyuma kuoa below 26yrs.
2. Una uwezo wa kufanya shughuli nyingi za nyumbani hasa kujipikia, kufua etc hivyo mwanamke sio lazima sana.
3. Pressure inakuja toka kwa either wazazi au binafsi tu coz huo umri mara nyingi unatamani familia (watoto).
4. 28-35yrs ndio unatakiwa ujikite hapo, ukirudi nyuma sana utaoa watoto (possibility ya kuchapiwa itakuwa kubwa), japo kama ulivyosema ni ngumu kumpata asiyezalishwa.

Msihisahau hadi kufikia u-senior bachelor...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…