Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,807
Reaction score
129,666
Kwa sisi ma-senior bachelor huwa kuna changamoto kadhaa tunapata kwenye kuchagua mtu sahihi wa kuoa.

Kama ilivyo kwa wanawake hata sisi wanaume huwa tunapewa pressure sana na wazazi , ndugu, jamaa na marafiki kuhusu kuoa. Maswali kama unaoa lini? Kwanini huoi? tunakumbana nayo sana. Tushirikishane changamoto na jinsi ya kuzikabili.

1. Kwasababu age imeenda wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa unawaona wadogo kiumri na kimatendo(22-26)

2. Wale ambao hawakubahatika kuolewa hadi 32-35 unawaona wazee sana ingawa wewe ni mzee kuliko wao! (mwanaume hazeeki)

3. Kama uko kama mimi na misimamo ya kutotaka kuoa mwanamke aliezaa utapata tabu sana maana wengi wenye age ya kutulia (28-31) wameshazaa na watu wengine.

4.
5.
6.

Vijana nawashauri kama mnataka kuoa msichelewe sana.
 
Ni pale unapopata tatizo la kukupeleka hospitali, patient history inakuwa hivi;

A patient is a 50 yrs old male, never bn married. He lives by himself, un able to look after himself.

Next of kin in case of an emergency? Querry a brother ?

Katika hali hiyo hata sanamu la Michelin utalitamani.
 
"Sisi ma senior bachelor"
Inamaana mpaka Leo haujaoa? Angalia watoto wa ndani ya ndoa baada ya kuoa wasije kuita babu badala ya baba.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Sababu ingine nimesahau kuisema. Kutokuaminika kuwa hatujaoa. Wewe ulikuwa huamini kuwa sijaoa ndio maana ulinikataa. Ila umekua siku hizi,maana ulikuwa pasua kichwa
 
Ni pale unapopata tatizo la kukupeleka hospitali, patient history inakuwa hivi;

A patient is a 50 yrs old male, never bn married. Hel lives by himself, in able to look after himself.

Next of kin in case of an emergency? Querry a brother ?

Katika hali hiyo hata sanamu la Michelin utalitamani.
Yote maisha, ila afrika hukosi wa kuishi nae.
 
Dogo dogo baadae kugongewa nje nje!

Kwani wee unaingia kwenye ndoa ukidhani papuchi yako peke yako....utajinyonga kaka. Wanawake wee wachjkulie chomba cha starehe na wewe una mihela sii utakuwa unagegeda huko nje bana...kwani ukioa ndio mwisho wakubadilisha papuchi....utazingua braza ukifanya kosa la kumpenda mwanamke!!!!
 
Aisee...changamoto ingine hio
 
Sababu ingine nimesahau kuisema. Kutokuaminika kuwa hatujaoa. Wewe ulikuwa huamini kuwa sijaoa ndio maana ulinikataa. Ila umekuwa siku hizi,maana ulikuwa pasua kichwa
Ndiyo sasa kila siku unakula nyumbani na siyo hotelini na kila siku nguo safi na zimenyooshwa kabisa kwanini tuamini hamjaoa?

Haahhaahhaah nilikuwa mdogo ndiyo sababu

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Back
Top Bottom