T Tochinoshin Member Joined Feb 14, 2024 Posts 97 Reaction score 149 Jun 9, 2025 #21 Hahahaa Chagua zinazokuhusu moja kwa moja... Zingatia MIEZI...na kama ni potential kwamba watakuja kukuchangia Otherwise sio lazima Me huwa namwambia mtu huyu hanihusu kivile na tayari huo mwezi nna kadi so ampe kadi mtu mwingine. Manake ndio mwanzi wa mikopo...ya kukaushana Paspii0 said: nina kadi 8 za harusi kila moja kima cha chini single ni 70 Click to expand...
Hahahaa Chagua zinazokuhusu moja kwa moja... Zingatia MIEZI...na kama ni potential kwamba watakuja kukuchangia Otherwise sio lazima Me huwa namwambia mtu huyu hanihusu kivile na tayari huo mwezi nna kadi so ampe kadi mtu mwingine. Manake ndio mwanzi wa mikopo...ya kukaushana Paspii0 said: nina kadi 8 za harusi kila moja kima cha chini single ni 70 Click to expand...
Zimba XXV JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,786 Reaction score 4,126 Jun 9, 2025 #22 Pole kwa kadhia hiyo changia pale unapoweza
Mr Attorney JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 25,472 Reaction score 34,509 Jul 17, 2025 #23 princess ariana said: AKUPE NANI MTAJI😀 ?? AKUSAIDIE KIAFYA? LABDA SIO WABONGO WENYE ROHO MBAYA! UKITAKA KUWAPIGA ANDAA HARUSI HALAFU TIMKIA CANADA😀 Click to expand... Furahia maisha na CHANGISHA, huduma ya kidigitali inayokupa urahisi kukusanya michango ya matukio kama vile Harusi, Msiba au Harambee. Fungua M-Pesa App>huduma>CHANGISHA or Piga *150*00#>6>5
princess ariana said: AKUPE NANI MTAJI😀 ?? AKUSAIDIE KIAFYA? LABDA SIO WABONGO WENYE ROHO MBAYA! UKITAKA KUWAPIGA ANDAA HARUSI HALAFU TIMKIA CANADA😀 Click to expand... Furahia maisha na CHANGISHA, huduma ya kidigitali inayokupa urahisi kukusanya michango ya matukio kama vile Harusi, Msiba au Harambee. Fungua M-Pesa App>huduma>CHANGISHA or Piga *150*00#>6>5