Changamoto ya maji Afrika ni VITA ya Kiuchumi

Changamoto ya maji Afrika ni VITA ya Kiuchumi

Mabeberu wanakausha vyanzo vya maji makusudi ili kuwagombanisha Waafrika na serikali zao
😂😂😂
mwl
Zamani nikuwa naamini matatizo yetu yanasababishwa na wazungu. Saivi naelewa wazungu wanatumika tu kama kichaka cha watu waliofeli kujifichia. Wakileta hela tunawita wahisani. Tukishindwa kutatua changamoto zetu tunawasingizia wao, wakati huu tukiwaita mabeberu.

Upumbavu wa viongozi wetu ndicho chanzo cha magumu tunayo pitia. Tunatafuta mchawi nje ingali wachawi tunao ndani.

Jambo kama shida ya maji dar, hilo nalo tuwalaumu mabeberu.
 
Gayizi hizo fedha zingechimba visima vingi sana ila kwakuwa tuna Amani basi amani itataua shida ya maji maana hali ya usalama ni shwari na maji kutotoka kwenye mabomba ni AI.
Yes.

Hata wale wajinga waliokuwa wanadai Katiba mpya tuliwaambia kinaga ubaga kuwa Katiba mpya haileti maji.

Dar na Moro Kuna shida kubwa Sana ya maji... Wapeleke Sasa Katiba mpya kama italeta maji.
 
Hapana ni vita ya kiuchumi ili wapore madini na gesi zetu
Haya mtakuja kushituka dakika za jioni, wakati nyinyi mkisota na ukame wa maji, mbogamboga wenyewe wanazidi kuongeza wafuasi wenye viliba tumbo mjini.
 
Duh karne hii bado watu wanahangaika na madumu kichwani
Nakumbuka miaka ya nyuma mbeya DANIDA walifanikisha mradi mkubwa wa maji na mbeya suala la maji ikawa
Safi,sasa waliyoachiwa mradi sasa 😄
Yale yale ya kapunga rice project

Ova
 
Aweso amekaa miaka kibao hapo wizarani na kutwa wanamsifia na sioni akitatua tatizo dogo la maji......Kwa TZ kutatua tatizo la maji ni swala dogo sana ,uwezo tunao ,vyanzo tunavyo na wataalamu tunao...shida nini? WAPIGAJI ndiyo tumewapa Dhamana.
Mzinguaji huyo

Ova
 
Sisi Waafrika ni low IzQ. Uarabuni ni jangwa ila wana maji ya kuwatosha. Wanachukua maji ya bahari wanatoa chumvi wanatumia. Easier said than done.
Sisi tuna mito,maziwa na mabwawa lakini maji ya kutumia majumbani ni shida.
Yaani tumeshindwa kuweka pump na mabomba ili maji yaje majumbsni. It's not rocket science .
 
Zamani nikuwa naamini matatizo yetu yanasababishwa na wazungu. Saivi naelewa wazungu wanatumika tu kama kichaka cha watu waliofeli kujifichia. Wakileta hela tunawita wahisani. Tukishindwa kutatua changamoto zetu tunawasingizia wao, wakati huu tukiwaita mabeberu.

Upumbavu wa viongozi wetu ndicho chanzo cha magumu tunayo pitia. Tunatafuta mchawi nje ingali wachawi tunao ndani.

Jambo kama shida ya maji dar, hilo nalo tuwalaumu mabeberu.
Guizi hii ni vita ya kiuchumi guizi mabeberu wanatamani maji yetu guizi hii economical sabotage gaizi
 
Sisi Waafrika ni low IzQ. Uarabuni ni jangwa ila wana maji ya kuwatosha. Wanachukua maji ya bahari wanatoa chumvi wanatumia. Easier said than done.
Sisi tuna mito,maziwa na mabwawa lakini maji ya kutumia majumbani ni shida.
Yaani tumeshindwa kuweka pump na mabomba ili maji yaje majumbsni. It's not rocket science .
😂😂Na hii ni 2025 🤦🤦 tunalia maji mara shule mara barabara 😂😂😂😂
 
Duh karne hii bado watu wanahangaika na madumu kichwani
Nakumbuka miaka ya nyuma mbeya DANIDA walifanikisha mradi mkubwa wa maji na mbeya suala la maji ikawa
Safi,sasa waliyoachiwa mradi sasa 😄
Yale yale ya kapunga rice project

Ova
Sijui huwa tuna shida Gani li mradi linagharibu bilioni kadhaa halafu ukikamilika unakufa ndani ya miezi mitatu 😂🙌🙌
 
Sisi Waafrika ni low IzQ. Uarabuni ni jangwa ila wana maji ya kuwatosha. Wanachukua maji ya bahari wanatoa chumvi wanatumia. Easier said than done.
Sisi tuna mito,maziwa na mabwawa lakini maji ya kutumia majumbani ni shida.
Yaani tumeshindwa kuweka pump na mabomba ili maji yaje majumbsni. It's not rocket science .
Tatizo linalotusumbua tumewapa dhamana WAPIGAJI ,hawana dhamira ya dhati ya kutatua changamoto zaidi ya kuangalia fursa za upigaji kwenye kutatua changamoto eg Bwawa la KIDUNDA tangia waanze mikakati ya kulijenga ni zaidi ya miaka 10 mpaka sasa bado halijakamilika ndiyo kwanza lipo below 30% ,hilo BWAWA likikamilika Dar,morogoro na Pwani shida ya maji wataisikia kwenye Radio ,imagine serikali haina fedha ya kulikamilisha hilo bwawa ,serikali hawana 200B kukamilisha bwawa....Just Imagine tu Lugumi kapiga 40B kwenye mradi mmoja ,February Marope Kapiga 85B ,Kizigha kapiga 60B yaani tukiminya mafisadi manne tu MRADI wa kidunda unakamlika ndani ya mwaka.
 
Guys unatumika na mabeberu hizo ni AI
Aisee. Natakiwa niwe makini... Tatizo Sina hakika kama Wana NIDA. Jee kweli hao ni watanzania au ni wakenya wamekuja Dar na kuanza kuzurula na ndoo zao ili mji wetu Mkuu uonekane hauna maji.

Hivi ni vita vya kiuchumi na hawa jamaa wanataka watalii wakimbie... Ila hawajui kuwa watalii huwa wanatumia toilet Paper.
 
Back
Top Bottom