Changamoto ya kutumia JF

Wakuu kwemeni na hamjamboni aisee nimekumbana na changamoto ya namna nzuri ya kutumia Jf
1.Nashindwa kuwatag watu niwapendao mf.Seran
2.Nashindwa kudouble reply
3.Nashindwa kuquote uzi kama afanyavyo Mshana Jr na miamba wengine
Msaada
KUNA NAMBA YA KUCHANGIA NAKUTUMIA ILI UWE MTAALAM WA JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…