Changamoto ya internet kwenye rooter za Airtel

Changamoto ya internet kwenye rooter za Airtel

Inakatisha tamaa kwa sisi ambao tuna mpango wa kununua hizi router zao!
 
Huwa nawashangaa sana wanaokomaa na Airtel, mi niliwah karibu mwezi mmoja sikurudi tena!
Hamieni voda kuliko kulalama kila siku, voda wana unlimited mpaka ya 60k siku hizi kama issue ni bei!
 
Back
Top Bottom