Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza. Tulivyofika chuo tulipaswa kulipia bima ya afya 50400, lakini mpaka sasa hatujapatiwa hizo bima na semister inaenda ukingoni.
Tulivyojaribu kufatilia walisema kuna namba za bima tutapewa zitatumika kipindi ambacho tunasubiri bima, lakini pia hizo namba hatujapewa.
Ukiugua sasa ni juu yako kujihudumia maana kufatilia hizi bima ni complicated process. Tunaomba mamlaka zishughulikie hii changamoto, na ikiwezekana bima itolewe moja kwa miaka yote ya chuo iwe inalipiwa to be activated kila mwaka tu ili kupunguza gharama na muda wa kuchapisha bima mpya.