Na Benny Mwaipaja, Addis Ababa
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khams Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni dhamira ya Serikali ya kuwekeza katika rasilimali watu...
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amehoji sababu za wazazi wa wabunge kutojumuishwa katika huduma za bima ya afya wanazopata wabunge, huku akielezea changamoto kubwa wanazopata familia nyingi wakati wazazi wanapougua.
Akizungumza bungeni leo Mei 12, 2026, Waitara ameeleza kuwa utaratibu...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza. Tulivyofika chuo tulipaswa kulipia bima ya afya 50400, lakini mpaka sasa hatujapatiwa hizo bima na semister inaenda ukingoni.
Tulivyojaribu kufatilia walisema kuna namba za bima tutapewa zitatumika kipindi ambacho tunasubiri bima, lakini pia...
Habari zenu
Frida insurance agent tunakata bima za magari ya aina zote chini ya taasisi ya bima ya taifa NIC
Malipo ni kupitia control number unapata cover note yako ndani ya dakika 10
Tunatoa pia elimu ya bima za magari aina zote
Kwa mawasiliano zaidi whatsup number 0756899736
Habari za Leo wananchi!
Hali inayoendelea katika nchi yetu katika HUDUMA afya baada ya kushuswa bei za Bima NHIF kutokana na Maboresha HUDUMA katika hospital zetu zinazidi kuwa mbaya, Hospital zimefunga baadhi ya HUDUMA na kupunguza watumishi wakujitolea.
Hali hii imeanza kuonekana Kwa Kasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.