Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,034
- 6,768
Kufanya biashara sio issue ngumu sana, wala sio issue nzito issue inakuja moja ni masoko, unaweza kufungua duka la phone and accesories lakini ukakosa wateja, unaweza ukafungua biashara yoyote ile, iwe nafaka au chochote kile, simply ukakosa wateja, watu wanajazana kwa waganga sio kwamba hawana mitaji ila wanajazana kwa waganga kutafuta mvuto wa masoko,
Huwezi kwenda kwa mganga kama huna biashara, lakini ukishakua na biashara lazima uende kwa mganga.
Mfano, fursa za kufanya ziko nyingi sana Tanzania, unaweza kujifunza chochote, ujuzi wowote na ukafanya kujiajiri, lakini kwenye swala la wateja mgogoro ndio unaanza, marketing ni sanaa.
Juzi kati hapa, nimejiingiza kuhusu utengenezaji wa sabuni za kuogea, nzuri zilizochanganywa na Mwani, Marashi n.k bado sina package, mche kipande kikubwa kweli nauza 1000/= lakini ukifikisha sokoni unakutana na bidhaa kama hizo nyingi, unakutana na sabuni za kuogea zenye majina kama imperial, sawa, shanza n.k, na unakuta utokaji wake ni mdogo, ila quality na quantinty ni kubwa na ina harufu nzuri.
Nishaurini kwenye huu mradi wangu, nifanye nini niwafikie watu wengi zaidi? Pia nataka nianze kutengeneza sabuni za gwanji.
Package ya namna hii nitaipata wapi hapa Tanzania?