Exformer
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 856
- 989
Habari zenu wakuu na wapenzi wa Tecnolojia.
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hilo hapo pichani, ninatumia program kadhaa za kufungua mitandao kwenye simu,Bypass FRP na kadhalika
Changamoto kuu ni pale ninapohitaji kuweka drivers kama Qualicom na MTK Vcom Drivers huwa hazikai kabsa kwenye Pc yangu.
Nimejaribu kila mbinu huko youtube ikiwemo kuzima Driver signature, kuinstall compatible driver ila bado nimeshindwa kuziweka kwenye PC kwa ajili ya matumizi yangu.
Picha inaonesha device manager >COM ports> qualicom driver yenye yellow color ambayo inaonesha kina shida ya utendaji kazi wa hiyo driver.
WATAAALAMU MNISAIDIE.