Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,513
- 108,898
HM Hafif,
..as much as ningependa CDM wawe na wabunge wa kuchaguliwa toka pande zote za muungano, kupata wabunge toka Unguja au Pemba ni vigumu sana kwa wakati huu.
..itachukua muda mrefu na resources nyingi sana kuwabadilisha wananchi wa Unguja na Pemba kupigia kura vyama tofauti ya CCM na CUF.
..katika taaluma ya uchumi kuna kanuni inaitwa opportunity cost, sasa CDM wanapaswa kupima hasara na faida za kutafuta kura kwenye majimbo ya Zenj at the expense ya majimbo ya Tanganyika.
..mpaka sasa hivi chama chenye sura ya kitaifa[bara,visiwani,kaskazini,kusini,mashariki,magharibi,kati] ni CCM tu, sasa tujiulize chama hicho kimeweza vipi kufikia mafanikio hayo? pia vyama vyote vya upinzani havijaweza kuwa na sura ya kitaifa, je ni challenges zipi wanakutana nazo?
..bila shaka ili CDM waweze kushika serikali ya nchi hii wanapaswa kuongeza idadi ya wabunge na wapiga kura wao. now, how does CDM achieve that goal is up for debate. je, wanapaswa kujielekeza kwenye kanda chache zenye kura nyingi? au wajielekeze ktk maeneo mbalimbali na kuwa na support across the entire country?

Changamoto za maana zitachukuliwa na kufanyiwa kazi.... za kidini pelekeni kwenye vyama vyenu... Mtoa mada anaonekana kwa upande mmoja kama ana nia njema ya kuwapa changamoto Chadema, kwa upande wa pili ana chuki kubwa na Chadema na kwa upande wa tatu ana chuki kubwa na wakatoliki....... Huo ni unafiki
unalipwa nini na mafisadi?unajituma kama vile changudoa aliyeahidiwa ndoa!
CCM ni Chama Cha waislamu
Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu
Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam
Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu
mkuu mala nyingi moto unaowashwa huwa hauwaki upande mmoja. Ukisema mwenzio anatabia mbaya tunaanza kukuangalia nawewe, sema kama taifa hii tabia inafaa ikomeshwe mapema sana hasa wa haya maccmhembu acheni kuendekeza mambo ya kidini/kikabila.
Ni upuuzi kusema chadema ni chama cha kikristo na ccm ni chama cha kiislam.
Huku ni kuishiwa kwa hoja kwa watu wa pande zote mbili.
Nashauri mods wafungie thread kama hz.
Hembu acheni kuendekeza mambo ya kidini/kikabila.
Ni upuuzi kusema CHADEMA ni chama cha Kikristo na ccm ni chama cha Kiislam.
Huku ni kuishiwa kwa hoja kwa watu wa pande zote mbili.
Nashauri mods wafungie thread kama hz.
Chadema chama cha kikristo hilo lipowazi. Si unaona mapadri na wachungaji.
laana inakutafuna wewe kamwe hautabaki salama
CCM ni Chama Cha waislamu
Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu
Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam
Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu
Alisema haamini
kwamba kuvuliwa nyadhifa kwa Zitto na Dk. Kitila ni kwa
sababu ya waraka wa ushindi, kama ambavyo imekuwa ikidaiwa na baadhi ya
viongozi wa Chadema, bali anaamini kuvuliwa kwao
ni kutokana na hofu ya uchaguzi,
ubaguzi wa kikabila na kikanda.
Kwa kuwa vipaumbele vya Chadema ni kukijenga chama mikoa ya
Kaskazini, basi sisi wananchi wa Mkoa wa Lindi tunawatakia kila la heri,
na kwamba waendelee kukijenga chama chao huko huko waliko. Nashukuru
wote ambao nilifanya nao kazi pamoja katika kutekeleza majukumu yangu.
ADAI KUTISHIWA MAISHA
Baada ya kuongoza uasi wa wanafunzi wa vyuo vikuu jjini Dar es Salaam,
Brigedia Greyson Nyakarungu, ameibuka na kudai anatishiwa maisha na
viongozi wa Chadema, wakikasirishwa na hatua yake ya kuongoza wanafunzi
kupinga uamuzi wa Kamati Kuu.
Akizungumnza na NIPASHE Jumapili kwa njia ya simu kutoka mjini
Morogoro, Brigedia Nyakarungu, ambaye ni mwanachama wa siku nyingi wa
chama hicho, alisema tayari ameripoti polisi kwa ajili ya kupewa ulinzi.
Hivi karibuni, Nyakurungu akiwa na baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu
mbalimbali, alitoa tamko la kupinga uamuzi wa kamati Kuu kumvua nafasi
zote aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe.
Katika tamko hilo, alitoa tishio la kutangaza uasi nchi nzima endapo
uamuzi huo hautaangaliwa upya kwa maslahi ya chama. "Baada ya kutoa
tamko lile, nimetumiwa ujumbe wa kuuawa mara moja kwa sababu nataka
kukiua chama," alisema Nyakarungu.
Aliwataja baadhi ya viongozi wakuu wa chama hicho (majina
yanahifadhiwa) kwa kuhusika na mpango huo. Alisema siri hiyo ilijulikana
baada ya kiongozi mmoja ambaye hakukubaliana na mpango huo, kumpigia
simu na kumtahadharisha kuwa makini kwani kuna mkakati wa kumuondoa
duniani.
Baada ya kupewa taarifa hizo, Nyakurungu alikwenda kituo cha polisi
mkoa na juzi kufungua faili la malalamiko. Aidha, alipewa RB yenye
namba MOR/RB/12999/13, ambapo alitakiwa kurudi kesho yake kutoa
taarifa.
Brigedia Nyakurungu aliingia kwenye chama hicho mwaka 2004 na kupewa
nafasi ya utendaji mtendaji makao makuu.
Ni miaka mingi sasa tangu CCM na vibaraka wake wakitumia propaganda ya Udini na Ukanda Kujaribu kuwaaminisha Watanzania kwamba Chadema chama kikuu cha upinzani na kinachobeba matumaini ya Watanzania ni chama cha Kikabila [wachaga] na ni ya kanda ya kaskazini.
Kinachonishangaza ni kitendo cha hawa wanaoikosoa Chadema kuendelea kungangania kubaki ktk chama kinachodaiwa ni cha kikabila na Kidini.
Kama kweli wanaona Chadema kiko hivyo si waachane nayo na kuunda au kujiunga na chama ambacho sio cha kikabila na kikanda?
Kuendelea kwao kuwepo ktk chama wanachokituhumu kuwa ni cha kibaguzi ni dhahiri kwamba wanacho kisema ni uongo na kwamba nyuma ya agenda yao hiyo kuna siri iliyojificha na ndio maana hawaondoki na badala yake wanaendelea kutumika iku kutimiza malengo ya wafadhili wao.
support
ni miaka mingi sasa tangu ccm na vibaraka wake wakitumia propaganda ya udini na ukanda kujaribu kuwaaminisha watanzania kwamba chadema chama kikuu cha upinzani na kinachobeba matumaini ya watanzania ni chama cha kikabila [wachaga] na ni ya kanda ya kaskazini.
Kinachonishangaza ni kitendo cha hawa wanaoikosoa chadema kuendelea kungangania kubaki ktk chama kinachodaiwa ni cha kikabila na kidini.
Kama kweli wanaona chadema kiko hivyo si waachane nayo na kuunda au kujiunga na chama ambacho sio cha kikabila na kikanda?