DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,439
- 5,750
TANEPS ni mfumo ambao Serikali na mashirika mengine ya Umma wanautumia Kutangaza Tender Mbalimbali kwa kutumia mfumo wa manunuzi wa serikali NA Sheria ya manunuzi ya serikali kwenye huduma mbalimbali
Mfumo huu Mara nyingi wanapotangaza tender wanatuma Email kwa wale wote ambao wamesajiliwa kwenye huo Mfumo, Ila Cha kushangaza Tender ikishafunguliwa maana inafunguliwa Online moja kwa moja huwa hawatumi Email tena kuwajulisha kwamba ni nani ameshinda Hiyo tender, Japo wana Option ya Bid Open Details unaweza kuona tu waliomba wangapi na nani ame bid value ya Chini sana na nani ane bid ya Juu lakini hauwezi kuja Kuambiwa ni nani amekuwa awarded na hiyo tender.
Kuna Kampuni moja hivi niliwahi kufanyia kazi Tuliwahi kuomba tender kibao tu na nyingi tulikuwa sisi ndio tuna bid ya chini kabis alakini hatukuwahi kupewa hizo tender wala hawajahi kutuambia ni nani alipewa na sisi kama tulikataliwa ni kwa vigezo gani wakati vigezo vyote tulikuwa tunavyo
Hivi hii Husababishwa na nini? Au ndio kuendeleza Rushwa? Inawezekana Kuna mchezo mchafu unafanywa