Changamoto katika biashara yangu ya chipsi

Changamoto katika biashara yangu ya chipsi

Kuna changamoto nyingi sana katika biashara yangu hii ya chipsi,

Lakini changamoto kubwa kuliko zote ni hii changamoto ya watoto wakali wenye Chura aiseeee hii biashara ina majaribu sana,

Ukitaka kuwa malaya na kuwala watoto wakali basi anzisha biashara ya chipsi karibu na chuo au sehemu yeyote yenye mkusanyiko wa watu wengi hapo utawala mpaka useme basi,

Tatizo ni moja tu ukijifanya penda penda sana nakuhakikishia mia utafungua banda lako la chipsi kwa msimu mmoja tu na hautauona msimu unaofuta kwa sababu watakuwa tayari wamekufirisi ,

Wanawake wenyewe huwa hawana gharama sana ila jiandae kumgongea chipsi yai kila anapokuja sasa assume una mademu 5 wote daily wanataka chipsi yai hapo ndio utajua kwamba kijijini kuna kilimo au bata,

Licha ya wapenzi wako tu toa wale wanaojibebisha na machura yao kwa kisingizio cha kukopa na kukusifia aiseee mimi Zero IQ hii biashara ili niendele inabidi nichongeshe miwani ya mbao,

Zero IQ niko hatarini kwa nini sikuwa kinyozi na saloon yangu nimeamua kuja huku kwenye neema za Allah.


View attachment 958873
Sample ya mademu wanaopatikana katika biashara yangu ya chipsi


Cc Zero IQ
Mkuu banda lako lipo wapi hapa Dodoma nije kuonja kiepe chako aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom