mapenzi ya sasa ni survival for the fittest..
unaweza kwenda huko kwenye wanaume wachache na bado ukapigwa chini pia!
sera zako na pesa zako ndizo zitakufanya uishi mjini!
Na mtafiti ndio wewe sasa. Ila hujaacha koloni huku?
kaka twenzetu kwenye fursa hiyo .....
1. Mkoa wa Manyara ndio wenye Wanaume wengi kuliko Mikoa yote ya bongo.
2. Mkoa wa Njombe ndio wenye Wanaume wachache kuliko yote bongo.
By Sensa Tanzania 2013.
Ufafanuzi ni kwamba wanawake wote mliobanana mahali akina Husninyo, DEMBA, ladyfurahia, Manka ...sogeeni Manyara huko.
Na wale wanaume mnaojiuliza tupo wangapi. .sogeeni Njombe hapo. Bujibuji, Arushaone, Excel, Daudi1. utafiti ..na mimi mwenyewe naanza safari kesho kwenda Njombe.
Mkuu huko ndio kwenyewe. Mkaguzi nimeshajiteua...japo kwa ukubwa wa eneo naamini hakutakuwepo vikumbo.