Changamkia fursa (opportunity) hii

Changamkia fursa (opportunity) hii

rilprogrammer

Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
94
Reaction score
19
Kwa wale wauzaji wa reja reja wa memory cards na usb flash disk,pata mzigo wa memory card kwa bei ya jumla,2GB memory card sh 6700/= kwa memory card 1,kiwango cha chini ni memory card 5.
Hata we unaelalamika kukosa kazi,chukua mzigo kwa sh 33500/= tu sawa na memory card 5,katembeze kwa watumiaji wa mwisho kama waingiza nyimbo kwenye simu,madreva bodaboda n.k uza kwa bei ya reja reja upate faida kwa kazi halali.
Wahitaji wote,weka order yako mapema.
piga au tuma sms namba 0714281313,kuweka order,hata kama upo nje ya DAR,tutashauliana jinsi ya kufanya hadi mzigo ukufikie ulipo.
Ahsanteni.
 
Mbona huku Mwanza sisi watumiaji wa mwisho tunanunua hadi buku5 kwa hizo 2GB!!?
 
Aseii 2GB jumla 6700??? Wakati rejareja huku 5000 unapata

4GB unapata kwa Buku 8 mpk 10.

8GB unapata kwa 10 nakuendelea

PUNGUZA BEI HII SI FURSA TENA
 
Back
Top Bottom