rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,164
- 43,859
Utatembezwa juani huku umevaaa tai na mavyombo ya maplistiki hadi uzeeke




Aisee kweli mkuu???Utatembezwa juani huku umevaaa tai na mavyombo ya maplistiki hadi uzeeke




Aisee kweli mkuu???Ilikuwa kazi gani?nakumbuka mwaka 2011 kipindi nipo desperate kupata kazi kweli nikakutana na tangazo kama hilo nikaenda..kufika sasa na kuiona kazi yenyewe, Dah
kuna bidhaa zao ulitakiwa utembeze kisha unapewa commision. yaani wanakufanya machinga wa bidhaa zao kisha mnagawana faidaIlikuwa kazi gani?
Never bother to deal with those bastards! Matapeli walio profeshnolize hao utasababisha watu wawasiliane nao mwisho watapeliwe tu bure mkuu. Watu wengi humu huamini taarifa zinazowekwa hapa so uaminifu huo waweza sababisha wakaibiwa bureSio mgen, ndo nmeliona tangazo nkasema nishare na wana jf
😂😂 Hili linaitwa bokoooKwan zikoje??
kuna bidhaa zao ulitakiwa utembeze kisha unapewa commision. yaani wanakufanya machinga wa bidhaa zao kisha mnagawana faida
sikuichukua lakini..nakumbuka tuiohudhuria usahili siku hiyo tuliondoka tukichekaPole sana Mama, daaah...! Ama kweli "Dunia hadaa walimwengu shujaa"![]()
nakumbuka mwaka 2011 kipindi nipo desperate kupata kazi kweli nikakutana na tangazo kama hilo nikaenda..kufika sasa na kuiona kazi yenyewe, Dah
Eti wameandika kabisa "Kulala ipo"
Qumaa hawa.
kuna bidhaa zao ulitakiwa utembeze kisha unapewa commision. yaani wanakufanya machinga wa bidhaa zao kisha mnagawana faida
Hili linaitwa bokooo
sikuichukua lakini..nakumbuka tuiohudhuria usahili siku hiyo tuliondoka tukicheka




eti wanaokaa mbali sehemu za kulala zipouliambiwa uuze mabeseni, utembeze sabuni, dawa ya meno,nakumbuka mwaka 2011 kipindi nipo desperate kupata kazi kweli nikakutana na tangazo kama hilo nikaenda..kufika sasa na kuiona kazi yenyewe, Dah
walituambia bidhaa, hatukufika huko hadi kujua ni bidhaa gani, sema nikaja kupata kazi sehemu nyingine, nilipokuwa ofisini akaja mdada anatutembezea bidhaa za losheni na vikorokoro vingine, kumuuliza maswali ndio akatujibu wameajiriwa na watu fulani, ndio nikagundua kumbe bidhaa zenyewe ndio hizi..Wala hata sikuwaambia wenzangu niliitwa kwenye kazi kama hiii maanauliambiwa uuze mabeseni, utembeze sabuni, dawa ya meno,
Utatoa hela ya kujaza form. Hamna cha duka wala kiwanda utapewa sabuni na losheni ukasambaze mtaani
uliambiwa uuze mabeseni, utembeze sabuni, dawa ya meno,
Ha ha ha ha ha dah mkuu niko stress full na haya maisha ila nimefurahi sana kwa hii post yako.Mpaka utakopouza vitu vya Mil![]()