Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Nimeliotea Tangazo sehemu, kazi kwenu
Mkuu unaamini hawa wahuni kabisa hawa???
Matapeli hao, dah unaonekana mgeni sana mjini we jamaa!No hzo wachek,
Aliyebandika mwenyewe hana kazi
[emoji23][emoji23] Nimekuja kwa mbwembwe nikijua nimepata kibarua dah nilichokikuta ndiyo hiki[emoji24]
Baba utauzia Mabesini hadi viatu viishe soli
Matapeli hao, dah unaonekana mgeni sana mjini we jamaa!
[emoji23][emoji23] Nimekuja kwa mbwembwe nikijua nimepata kibarua dah nilichokikuta ndiyo hiki[emoji24]
Hahaha umenifanya nicheke sana asee kumbe inawajua wajinga hawa eee
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] kaa mbali bomu ilo....
Utatembezwa juani huku umevaaa tai na mavyombo ya maplistiki hadi uzeeke