Chandimu, ukutiukuti, rede...! Zamadamu

Chandimu, ukutiukuti, rede...! Zamadamu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,119
1419048840195.jpg
 
Enzi zetu hatubagui, michezo yote tunacheza tu. Nimepiga mpira kama kawa, kujipikilisha...baba au sometimes mtoto. Halafu kwenye ule mchezo wa ubaba wasichana walikuwa wananigombania kwa sababu nilikuwa najua kupika vizuri. Naiba mchele, mafuta, nyanya naenda kujipikilisha. Utoto ulikuwa mzuri sana. Bila kusahau rede, na kombolela. Kurusha tiara na kuendesha nagari, kuwinda ndege na sungura...dah! Sitasahau enzi hizo.
 
cheza sana michezo hiyo Mimi daaaa ama kweli kila zama na kitabu chake
 
mbona sijaona kibaba baba na kimama mamaa mtani??? mi nilikua napenda kuwa mana

nakumbuka kipindi kile halafu.mimi nilikuwa baba nashangaa siku hizi kile kiapo chetu cha utotoni umekivunja kwetu moshi
 
Kila mchezo ulikua na msimu wake, kipindi cha kucheza sembo(chandimu) tulikua tunashona wenyewe au tunaenda kununua makoroboi kwa watoto wa wakoma

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Enzi zetu hatubagui, michezo yote tunacheza tu. Nimepiga mpira kama kawa, kujipikilisha...baba au sometimes mtoto. Halafu kwenye ule mchezo wa ubaba wasichana walikuwa wananigombania kwa sababu nilikuwa najua kupika vizuri. Naiba mchele, mafuta, nyanya naenda kujipikilisha. Utoto ulikuwa mzuri sana. Bila kusahau rede, na kombolela. Kurusha tiara na kuendesha nagari, kuwinda ndege na sungura...dah! Sitasahau enzi hizo.

Hahahahaaa you are a real Chosen generation
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom