Hawa ukiwawekea vyandarua vinakula nafasi na wengine watazinduka wanataka kwenda maliwatoni itakuwa vurugu!! Dawa hapa ni INSECT REPELANT..Wanagawiwa hiyo dawa na kujipaka wanapoingia mjengoni!! MWISHO WA TATIZO ile
Akikurupuka hapo... hata kama mada iliyokuwa inajadailiwa haihusu posho utamskia: " No! Hawa CDM wanatafuta umaarufu wa kisiasa. Bunge bila posho haiwezekani".
angesema amelala wangesema ni uchochezi lakini mhariri kataka kuonyesha hata wale mabingwa wa ubishi wakose la kusema!
Hawatuonei hata huruma sisi tuliowaweka hapo nausingizini bila kujua hata mada wanaanza kutukana cdm. Your days are numbered!
Hapana mimi nafikiri zikifutwa hatoweza kulala,kwani hapo kinacholmlaza ni ubwete wa kushibiana sana posho za wananchi. kwani akikaaa hapo kwenye kiti akawa anaisikia njaa sawa na ile ambayo tunaiskia wananchi never hatopata usingizi atakuwa makini na tena atakuwa mkali kupitisha vifungu vingine vya kipuuzi. hapao akisikia makofi yanapigwa ataamuka na yeye anaanza kupiga, akisikia kifungu hiki kipite atakurupuka na kusema kipitee bila hata kujua kinahusu nini na mwananchi atafaidika nacho vipi.