Ugandacranes 2 , taifa stars 0, dakika ya 85 now
Katavi mbona kimya?
Jamani mnalumbana tu,wengine tuko mbali hatujaona mechi,kwani tumefungwa ngapi?
naona anatolewa chini ya ulinzi mkali
MALINZI 0 - 3 Uganda
Sio kukata majani tu hata kuiona bustani yenyewe hawakustahili.......Sio tu kwamba walikuwa hawawezi kukalia kiti cha Leodeger Tenga, lakini pia hawakustaili hata kuwa wakata majani wa bustani ya nyumba yake..........
tunaelekea kupigwa la 4...
Ali hassan mwinyi aletwe mbele ya waandishi wa habari alazimishwe afute kabisa ile kauli yake ya "taifa stars ni kichwa cha mwendawazimu" kisha pale uwanja wa taifa tufanye tambiko kubwa chinja ngombe hata mia mashabiki wale bure mifupa yote kusanya tupa katikati ya bahari, taifa stars itazaliwa upya
MALINZI 0 - 3 Uganda