Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,766
Kila mtu anataka apangiwe na Juve, sijui ndio wamewaona vibonde.
Ninaisapoti Juventus,napenda tupangiwe na Real Madrid
Kila mtu anataka apangiwe na Juve, sijui ndio wamewaona vibonde.
Tafadhali bhana. Ukiangalia kijuujuu unaweza kuiona juve kama dhaifu, lakini c kweli. Mimi nachoomba draw ya kesho tupangiwe #Barcelona au #Realmadrid . Na Mungu akiwa upande wetu zaidi game ya kwanza tucheze Turin. Naapa mbuzi aning'ate tukipangiwa na moja kati ya hizo fainali lazima...