Champion Investment matapeli Mwanza

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
4,496
2,000
Hizo documents ni feki na za kikhanithi sana.
Cheti cha BRELA kimetolewa baada ya TIN number sasa jiulize alipataje TIN number bila cheti cha usajili wa kampuni.
Na BRELA huwa hawaandiki L.T.D
Huandika LIMITED hakuna kuandika kifupi kwenye cheti cha usajili.
Wangenitumia mm hizo documents zao nakwambia ningemla mtu "jicho" lake ili waache usengerema wao wa kitoto.
 

kkiwango

Senior Member
Aug 27, 2007
173
195
Siyo kujidhalilisha mkuu nimeandika kuwatahadharisha wengine lakini pia wahusika wajue kuwa sitakaa kimya nakula nao sahani moja mpaka kieleweke.
Vp ulikula nao sahani moja? Mpaka leo hii wapo wameniunga kwa grp yao
 

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,800
2,000
Habari za kazi wanajamvi.

Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria.

Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.

Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia mia moja.

Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na leo ilikuwa nipokee gawio langu.

Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435.

Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.

View attachment 1326287 View attachment 1326288 View attachment 1326289 View attachment 1326290 View attachment 1326291
Hivi kwa akili ya kawaida inawezekanaje mtu ukaamini kwamba unaweza pata return ya uwekezaji 100% ndani ya siku 3. Ingekuwa rahisi hivyo watu wasingekuwa wanasave pesa bank wangepeleka huko tu ziwe znadouble tu.
Jamani tuwe tunatumia akili kufanya reasoning. Pole ila ni uzembe.
 

Rusumo one

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,834
2,000
Hizo documents ni feki na za kikhanithi sana.
Cheti cha BRELA kimetolewa baada ya TIN number sasa jiulize alipataje TIN number bila cheti cha usajili wa kampuni.
Na BRELA huwa hawaandiki L.T.D
Huandika LIMITED hakuna kuandika kifupi kwenye cheti cha usajili.
Wangenitumia mm hizo documents zao nakwambia ningemla mtu "jicho" lake ili waache usengerema wao wa kitoto.
Watu walishafika kote huko shortly hakuna taasisi hiyo totaly ni uzembe tu unafanya ndg zetu kutapeliwa kisa kutaka mali za ubwete
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom