DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,952
Habari za kazi Wana jamvi. Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENTipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria. Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia Mia moja. Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na Leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435. Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
Wafuate ofisini kwao, au hizo documents zote umeziona kwenye what's up?Habari za kazi Wana jamvi. Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENTipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria. Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia Mia moja. Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na Leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435. Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
Wewe Ni ZUZUMAGIC PROFESSIONALHabari za kazi Wana jamvi. Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENTipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria. Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia Mia moja. Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na Leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435. Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
Mkuu hawa ni matapeli ,hizo leseni zimeandikwa mwanza ANGALIA MUHURI ULIOPIGWA na SAHIHI NI KINONDONI . LESENI JINA WAME EDIT
ANGALIA TIN WAME EDIT STATIONERY JINA .
HAKUNA BIASHARA YA SIKU TATU UPATE HEKA HIO ,
WALINISHAWISH NIKAWAULIZA OFISI NIENDE WAKASHINDWA ELEZA ,HAWANA OFISI .
GTOUP LAO WHATSAPP WAMEBLOCK USICOMMMENT KITU
Doc zao feki ,na kila kitu fake ..
Kama wamesajiliwa ,ungewaomba ungeenda ofisini kusign mkataba , waligoma.
####leseni original waliocopy hio chini
Ningekuomba hiyo laki Wala usingenipatia Ila Kwa Matapeli ukawa na za kuwapatia. Pambana na Hali yako.
Hapewi pole mwenye kiranga
FANYA KAZI KWA BIDII, HAKUNA HELA RAHISI DUNIANI..
Dah kuna mmaza alipigwa mil50 na desi....aliparalysebado nipo na risiti zangu za desi nasubiri gawio tangu 2009!
Angekupatia hio laki ili na wewe umpe nini in exchange?
Kwani unapompa mtu kitu ni lazima upate kingine in return? Ndo mana ametapeliwa bora hata angeitoa kwangu bure nimpe Asante yaishe
Hapa ndiyo maajabu yanaanza niliona tu namba yangu imeunganishwa kwenye group lao. Nadhani Kuna mahali wanapewa namba za wateja wanaofanya miamala Mara kwa mara.Mlalamikaji tupe abc jinsi gani ilifikia Hadi ukajiunga na hao champion, lini,wapi ofisi ipo, Nani alikupa mwanga kujiunga huko ili tujue Cha kukushauri