Habari za kazi Wana jamvi. Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENTipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria. Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia Mia moja. Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na Leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435. Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
Anzia pale Mwanza Jiji watakusaidia mkuuHabari za kazi Wana jamvi. Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENTipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria. Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia Mia moja. Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na Leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435. Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
Mimi nililiwa japo pesa kidogo ila kama mpango ungeenda kama tulivyo aminishwa Leo Pengine tungekua na pakuanzia mpango wenyewe Ulikua uanzishaji wa Bank ya wanamwanza Kifupi MCB kiongozi wa mpango huu yupo wakuitwa Joseph Kahungwa mpaka Leo ndugu kimyaa mwaka wa 7 unakatika kama sio utapeli ni nini?Habari za kazi Wana jamvi. Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENTipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria. Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia Mia moja. Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na Leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435. Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
Mkuu hawa ni matapeli ,hizo leseni zimeandikwa mwanza ANGALIA MUHURI ULIOPIGWA na SAHIHI NI KINONDONI . LESENI JINA WAME EDITHabari za kazi Wana jamvi. Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENTipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria. Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini.
Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada ya siku tatu unapokea gawio la asilimia Mia moja. Kwa maana ya kuwa ukitoa laki moja utapokea laki mbili baada ya siku tatu. Juzi nilitoa hiyo pesa na Leo ilikuwa nipokee gawio langu.
Naamka nawasha data naona namba yangu imekuwa removed nampigia admin kaniblock. Napiga kwa namba nyingine kapokea huyu anaitwa RICHARD EPHRAIM namba yake no 0716 340 435. Wadau husika mkiwemo watendaji hebu naomba mnisaidie tuwakomeshe hawa MATAPELI wanaumiza watu.
na alisema hapa kuwa ukiwambia upo dar wao watasema wapo dodoma, ukiwambia upo dodoma wao watasema wapo mwanza nia ni kwamba wewe usiende kwenye ofisi hewa wanazosema wanamiliki.Kuna mtu amewahi kulalamika humu kutapeliwa na kampuni hiyohiyo ile yeye alikuwa dodoma...
Ila in short ni kwamba hauna akili mkuu..
Mbona umedanganywa kitoto sana.????
Kwahuyo ungetoa milioni 10 baada ya siku3 una milion 30.????
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..