Chameleone azuiwa kuondoka nchini na Shigongo kisa deni!?

Shigongo ni mpuuzi na ni mshamba,mtu mweledi hawezi fanya upuuzi kama wake. Anataka kuharibu uhusiano na ujirani mzuri na Waganda kwa ujinga wake!!! Alafu hili jamaa si niligamba??
 
Chameleone demonstrates at Tanzanian Embassy over passport

?

?Ugandan Musician, *Joseph Mayanja aka. Jose chameleon has pitched camp at the Tanzanian high commission in Uganda in protest of his passport illegally being withheld by a Tanzanian music promoter.

Chameleon came to the high commission this morning in sandals with a small mattress and a Uganda flag and vowed not to leave the premises until his passport which was confiscated by Tanzanian promoter is returned to him.

Chameleon’s passport and another two of his colleges were confiscated by a one Eric Shigongo CEO of GLOBAL PUBLISHERS the company that claims to have hired the artist through his manager whom he paid 3500$ for Jose to perform in Tanzania

As it turns out Jose says Mr Shishingo paid the money to a conman called George who posed as the manager to the artist.

Chameleons Account

I AM VERY DISAPPOINTED!

I WAS HIRED BY GLOBAL PUBLISHERS A TANZANIAN COMPANY, TO PERFORM AT THE NATIONAL STADIUM ON THE 7th July 2012.

I PERFORMED AS THE CONTRACT AGREED! ON SUNDAY 8th ONE ERIC SHIGONGO THE CEO GLOBAL PUBLISHERS CONFISCATED MY PASSPORT ALLEGING MY MANAGER HAD SWINDLED HIS 3500$, WHICH IN REAL SENSE WAS SWINDLED BY A KAMPALA CONMAN CALLED GEORGE.

I WAS ASSISTED BY THE UGANDAN EMBASSY IN DAR EL SALAAM, WHO GAVE ME A TEMPORARY DOCUMENT TO RETURN ME HOME.
ON RETURN TO UGANDA I HUNTED FOR THE CONMAN, ARRESTED HIM AND HANDED HIM OVER TO POLICE, WHO FREED HIM ON CONDITIONS I DON’T KNOW!

I EXPLAINED TO THE TANZANIAN AMBASSADOR AT THE TANZANIAN HIGH COMMISSION IN UGANDA FOR ASSISTANCE BUT SEEMS IN VAIN.

I HAVE UPCOMING PERFORMANCES IN

SOUTH AFRICA, ENGLAND, BELGIUM, NORWAY, SWEDEN, CANADA ETC!

SO IS ERIC SHIGONGO ABOVE THE LAW TO KEEP MY PASSPORT ILLEGALY?

AM I LIABLE TO HIS NEGLEGANCE THAT HE TRUSTED A CONMAN?

IS IT FAIR THAT AN UNAUTHORIZED TANZANIAN CITZEN CAN KEEP MY PASSPORT FOR OVER A MONTH?

?(Visited 25 times, 25 visits today)

2 Comments for “Chameleone demonstrates at Tanzanian Embassy
 
Nimemsikiliza Shigongo vizuri alipokuwa anajieleza kwenye kipindi cha Hotmix cha EATV, Ki ukweli watanzania kazi tunayo. Kwa kuwa tuna tabia ya kudharauliana wenyewe kwa wenyewe basi hatuna budi kuendelea kudharauliwa hata na wageni ndani ya nchi yetu. Sina hakika kabisa kisheria kwa kile alichokifanya Kaka Eric, the way chameleone did to him is not fair at all. Na pia ametu-alert waTz tukae chonjo kwa utapeli wa ndugu Kinyonga. Lakini pia ametuambia kuwa alimtuma Kidumu kwenda Uganda kuonana na Chameleone, so Kidumu nae anaweza kutueleza kipi kilichojili kwenye sakata hili. Na mwisho kama mamlaka zikitambua ukweli kuwa Chameleone amemtapeli Shigongo basi awe bunned kufanya show ya aina yoyote hapa Tanzania, kama walivyomfungia Kenya.
 
anawashwa washwa huyu.
magazeti yake yamejaa matangazo ya waganga, sasa je hao waganga wanamsaidia nini?
Wafanye mambo basi matapeli warudishe pesa hizo, au aende kwao alikokulia Gambosh akafanye mambo na sio kukaa tu na kukimbilia kwenye TV kwenda kulialia kuhusu thread zinazompasha ukweli toka hapa JF...


Imeandikwa na kuhaririwa na Gang Chomba toka ktk viunga vya Bogota Colombiana.
 
Where is Nyani Ngabu when you need him?

Hapa Shigongo na huyo Chameleon - at the risk of "blaming the victim"- wote wanatuaibisha.

We mtu mkubwa mzima mwanamuziki una jina kimataifa utaruhusuje mtu tu ashike passport yako? Unakuwa kama yaya wa Kifilipino anayepelekwa Saudi kwa nauli asiyoimudu?

Halafu hata baada ya hili kutokea, utaruhusuje kuanika dhakari kama hivi? tena kwa kujitajia kidaumbuzi unacholipwa, hata mtu aliyetaka kukulipa mara kumi zaidi anakuona cha mtoto.

Waganda walimcheka sana Saida Karoli alivyochemsha mambo fulani kwao, sasa zamu yao.

Not that I endorse anything Shigongo does. Shigongo naye siku yake inakuja.Kuna siku atamkatizia kichaa tutakuja kupewa habari mbaya hapa.
 

What now? I ain't fittin' to defend either one of them...
 

duh!!!makavu laivu
 
Shigongo anatumia illegal ways pasipo kujua.
Ukilaza wake wa kuandika udaku kwa kutumia google anauingiza kwenye biashara asiyoimudu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbona tukisafiri ulimwenguni mahotelini wanabaki na passport zetu?

Ingawa haijawahi nikitokea nikashindwa kulipia gharama za hotel

Huwa wanachukua passport? mmh! binafsi ninachojua huwa wanachukua kivuli cha passport au maelezo muhimu.
 

sijaona vita
 
Nyie mnakuwa kama wageni kwa Chameleone...uyu alishajirusha hadi gorofani ili aandikwe kwenye magazeti achilia mbali kuslim kwa 24 hours...itakuwa kuitumia hii nafasi adimu kuuza bongo..

pale impala alifumaniwa akiwa na mke wa kigogo alipo ona hana pakutokea akaamua kuruka dirishani..
 
amwambie dada sintah anayejipendekeza kwake ili amsaidie kumwombea passpot kwa jambazi shigongo.
 
I think Shigingo will end up dead on this saga. Hivi hajui nchi za Uganda na Kenya kuna contracted killers? I hope ikitokea nadhani utakuwa mwisho hata wa udaku wake huyu mnafiki.
 
Tena kwa hela ndogo sana ya $3500.
Inaelekea huyu Eric Shigongo hana upeo wa kibiashara.
Kwa hela ndogo hiyo anajiaibisha na kuaibisha nchi, kweli jina kubwa ndani makaratasi matupu.
 
Few days ago kulikuwa na hii thread: https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/290414-erick-shigongo-atiwa-kizuizini.html


Mbona habari ya sasa inatofautiana na hii habari ya Nyerere? Was Yericko Nyerere source not a reliable source?
 
Last edited by a moderator:

ukisha vaa tu nguo ya kijani utakuwa juu ya sheria
 
Alichikisema erick shigongo kuhusu sakata hili:-
watanzania wafahamu muda wa kudharauliwa na wakenya na waganda umepita.kinyonga nimemlipa hela mara mbili, lakini aliruka kuhusu mara ya kwanza ambayo ni usd 3500.kidumu shahidi...alikutana na agent wa chameleone mweneywe uganda na aka konfesssss
source: Amplifaya clouds fm ya jana 26.07.2012
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…