Mutambukamalogo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 397
- 85
Bangi ni noumaaaa......
Mwenyezi mungu amjalie kila la kheir ,na awafungue na wengine waujue ukweli.
<br /><br />Inawezekana tuu, mbona Michael Jackson alisilimu na mwanamasumbwi Mike Tyson nae alisilimu?... Ni jambo la kawaida tu...
anataka kuoa mke wa pili.. si mnajua vijan wa sku hizimwanamuziki maarufu jose chameleon amesilimu na kuwa muislam, maamuzi hayo aliyachukua ijumaa iliyopita katika msikiti wa kibuli mjini kampala huku akiambatana na marafiki zake Haruna mubiru. taarifa zaidi soma mzalendo la leo habari za michezo.
offcourseBangi ni noumaaaa......
Dini ya ALLAH imeongeza idadi ya wavuta bangi miongoni mwa wafuasi wake, na ninakuunga mkono huyu bwana asilimishe wavuta bangi wenzake kwa wingi kwa kadri awezavyo ili wawe wafuasi wa Marehemu Muhamad.inaonekana wagala wengi imewauma eenh! Huyu kijana kuingia kwenye dini itakayomuongoza kwa maisha ya sasa na baada ya kifo chake. Na jiandaeni atasilimisha wengi sana kwa kuwaeleza mashabiki wake jinsi alivyogundua uongo na usanii unaofanyika kanisani kwani dini za kibiashara zaidi kuliko iman. Takbiiiiir.
Ugaidi na kujilipuwa kwa mabomu.Ukweli ni nini?
Chameleon Converts To Islam, Now called Gaddafi
Latest info is that Ugandas top musician, the self proclaimed music doctor, Jose Chameleon has converted to Islam. Snoops spotted the singer clad in full Muslim attire attending prayers at Kibuli Mosque on Friday August 12, 2011. He is now called Gaddafi Chameleon. Chameleon was accompanied by fellow artists Haruna Mubiru a Moslem and Grace Sekamate all of Eagles Production. Our snoops have not yet gathered reasons for the sudden change of religion. Chameleon a Catholic who tied the knot to Atim Daniella at Mbuya Catholic Church a few years ago has shocked many.
Watch this space! Take a look below; (All photos by Male Godfrey)
Kapotea ataukumbuka uamuzi wake na kuujutia.
astakafullahhaya ndo maisha,nampongeza kuchagua jina la mbwa wangu
Dini ya ALLAH imeongeza idadi ya wavuta bangi miongoni mwa wafuasi wake, na ninakuunga mkono huyu bwana asilimishe wavuta bangi wenzake kwa wingi kwa kadri awezavyo ili wawe wafuasi wa Marehemu Muhamad.
Ni, lazima ufahamu kwamba kuna ALLAH na kuna MUNGU. hawa hawalingani, ni kweli kabisa uislamu ni dini ya ALLAH na ndio maana ALLAH anaswali.Wewe ndie uliyepotea, unapaswa urudi katika dini yako ya maumbile. Mwenzako ameiona nuru. Hakika amepata uongofu. Amechoka ubabaishaji wa kanisa. Mara Yesu Mungu, mara Mwana wa Mungu. Ni vigumu kuingia katika mantiki kwamba mwana awe mungu, mama yake asiwe mungu. Jifunze kuheshimu imani za wengine wewe mjinga.
1. "Na anayetaka dini isiyokuwa Uislamu basi basi haitakubaliwa kwake. Naye akhera atakuwa katika wenye khasara (kubwa kabisa)" Quran 3:85
2. "Yeye ndie aliyemleta Mtume wake kwa uongofu na dini ya haki ili ajaalie kushinda dini zote ijapokuwa watachukia washirikina" Quran 9:33, 61:9
3. "Hakika dini mbele ya Allah ni Uislamu" Quran 3:19
4. " Jee, wanataka dini isiyokuwa ya Allah na hali kila kilichomo mbinguni na ardhini kinamtii yeye, kipende kisipende? Na kwake watarejeshwa wote" Quran 3:83
Ni, lazima ufahamu kwamba kuna ALLAH na kuna MUNGU. hawa hawalingani, ni kweli kabisa uislamu ni dini ya ALLAH na ndio maana ALLAH anaswali.
Pili ni lazima ujuwe kwamba waislamu wanamswalia mtume kwa sababu yuko Jehanamu kwa sababu alikufa akiwa na dhambi nyingi, sasa kama kiongozi unaemfuata hata yeye mwenyewe hajui hatima yake sijui ubongo wako hapo kama unaushirikisha.