Chambueni hili tukio

Chambueni hili tukio

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,292
Reaction score
1,867
Habari zenu Jf.

Mwaka 2015 niliingia benki flani Mida ya asubuhi kwenda kutuma pesa za ada ya chuo.

Cha ajabu ile nasukuma mlango niingie ndani kuna mfanyakazi mmoja Wa benki alikurupuka ghafla akiingia chumba kimoja wapo cha benki kiasi cha kuangusha laptop ya reception.

Nilijiuliza mengi sikupata majibu mpaka Leo hii.Hata wenzie walishtuka.

Nb: Simjui wala hanijui.Je hii ilikuwa nini?
 
Mkuu ulioga kweli?
 
Una sura ya Jini (Kiroho)
kiding
 
bila shaka alikufananisha na marehemu anayemjua 🤣
 
Itakuwa alikuwa anaangalia porn ukamharibia mpk akaidondosha laptop.
 
1.Je kulikuwa na wateja wengine ndani?
2. Alikuangalia?
3.Kwani sura yako ni ya kibabe sana?
4.Je umewahi kuingia hiyo benki kabla ya siku hiyo?
5. Je umerudi hiyo benki tena?
Jibu maswali hayo kwa unyoofu
 
Kabla ya kuchambua, tueleze yafuatayo kuhusu wewe;
a)Ulivaaje? Koti,miwani?
b)Mwendo wako wa kuingilia humo ndani wa namna gani? Ule wa kusukuma mlango kwa haraka na kuingia kama umekurupushwa?
c)Ulibeba nini? Kuna chochote ulikishika mkononi? Una begi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom