Akicheza na akina zalan,power dynamo..mechi ya asec alionekana!?Chama clatous nakiri kuwa ni hatari sana
Chama yupiii? Huyu mnae mfananisha na kila mchezaji wenu?Mkikutana na timu yenye ubora akashindwa ku-perform mnaanza kumponda na kumuita mzee!!
Hujui mpira, kaombe wali na bamia kwa mkeo ule ulale🚮Akicheza na akina zalan,power dynamo..mechi ya asec alionekana!?
Hahahaha huyo mchezaji wa jkt,mashujaa..kwenye zile Tano za November alionekana!?..au hata mechi ya Azam?Hujui mpira, kaombe wali na bamia kwa mkeo ule ulale🚮
Unakariri mechi moja? Kwani timu kufungwa goli 5 ni story? Ni kwa vile utopolo united ni wandogo kwa Simba mnaona mlibahatisha. Usiwe na akili mgandoHahahaha huyo mchezaji wa jkt,mashujaa..kwenye zile Tano za November alionekana!?..au hata mechi ya Azam?
Chama ni mchezaji wa mechi ndogo ambazo hazina pressureKufungwa sio tatizo kwani hata Barcelona ya messi akiwemo ilikua haifungwi au lakini haibadilishi ukweli kua chama ni mchezaji wa daraja la juu kabisa kuwahi kucheza simba
Jina la ID yako daah au basiMpira siku zote ni mchezo wa wazi tulishasema toka siku nyingi kipindi simba iko kwenye peak ilijengwa kumzunguka chama chama ndo alikua anaamua Simba icheze vipi alipoondoka ndo anguko la simba lilianzia pale
Chama ni mmoja kati ya wachezaji ambao wanafanya kwa usahihi na ufasaha majukumu yao asilimia 85 ya ushindi wa simba Leo umechorwa na chama halafu kuna mtu yuko busy anaona saidoo ni bora kuliko mwamba wa Lusaka
All in all timu imejitahidi japo kuna namna bado hatuchezi kitimu ni wakati muafaka sasa Luis na chasambi wawe wanaanza saidoo piga benchi playmaker CCC
NB:AISEE CHAMA NI MCHEZAJI WA DARAJA LA JUU SANA CHAMA NI GENIOUS WA MPIRA KUWAHI KUTOKEA MSIMBAZI PALE
umeona eehMkikutana na timu yenye ubora akashindwa ku-perform mnaanza kumponda na kumuita mzee!!
Ongeza sauti Mkuu.hatusikii hukuMpira siku zote ni mchezo wa wazi tulishasema toka siku nyingi kipindi simba iko kwenye peak ilijengwa kumzunguka chama chama ndo alikua anaamua Simba icheze vipi alipoondoka ndo anguko la simba lilianzia pale
Chama ni mmoja kati ya wachezaji ambao wanafanya kwa usahihi na ufasaha majukumu yao asilimia 85 ya ushindi wa simba Leo umechorwa na chama halafu kuna mtu yuko busy anaona saidoo ni bora kuliko mwamba wa Lusaka
All in all timu imejitahidi japo kuna namna bado hatuchezi kitimu ni wakati muafaka sasa Luis na chasambi wawe wanaanza saidoo piga benchi playmaker CCC
NB:AISEE CHAMA NI MCHEZAJI WA DARAJA LA JUU SANA CHAMA NI GENIOUS WA MPIRA KUWAHI KUTOKEA MSIMBAZI PALE
Chama clatous nakiri kuwa ni hatari sana
Hii leo mbona ilikuwa na pressure kubwa sana kwa Hawa Nyau? Chama tukubali tukatae sisi Yanga tushamsajiri sana. Sema huwa anaenda kuchezea SimbaChama ni mchezaji wa mechi ndogo ambazo hazina pressure
Akicheza na timu za maana anapotea na kutolewaUnakariri mechi moja? Kwani timu kufungwa goli 5 ni story? Ni kwa vile utopolo united ni wandogo kwa Simba mnaona mlibahatisha. Usiwe na akili mgando
undisputed? how?Mpira siku zote ni mchezo wa wazi tulishasema toka siku nyingi kipindi simba iko kwenye peak ilijengwa kumzunguka chama chama ndo alikua anaamua Simba icheze vipi alipoondoka ndo anguko la simba lilianzia pale