Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,163
- 22,739
Ni kawaida ya Chama mkataba unapokaribia kuisha huongeza sana juhudi ya mazoezi. Na hili jambo kwa kweli humbadilisha Chama na kumfanya mpambanaji sana uwanjani.
Ila tena matches ngumu zikianza huanza kucheza kwa woga akiogopa kuumia maana umri nao si haba. Chama akutane na Dodoma Jiji, Fountain Gate and the likes. Uta enjoy sana uchezaji wake. Sasa aje akutane na walume ndago hutamwona uwanjani. Unaweza sema hayupo.