Majina mengine bana kwa nini wasikiite Coward?
Watu humu kwa kweli ni waajabu aisii. Watu walishabikia afukuzwe aanzishe chama chao, leo kuna vuguvugu la chama kipya jamaa ooo sheria iangaliwe upya ya unzishaji vyama, ooh due diligence. Kwa mtu unashindwa kuelewa in first place, hawa watanzania wanataka nini.
Waberoya unataka evidence zipi? hata kama hutaki kukubaliana na evidence zilizotolewa na Kamati kuu hata matamshi ya Zitto kwa viongozi wake hutaki kuyaamini? Zitto anasema yeye haongei na kifaranga(Lissu) anataka kuongea na mama wa vifaranga(Mwenyekiti).No, moja ya vitu ambavyo vimenishinda sana katika maisha yangu ni kupingana na akili zangu
napenda kuwa huru sana kuuliza lolote lile kwa kadiri ninavyoona
kwa issues za hivi karibuni za chadema na zitto naona kuna mapishi mengi ya neno usaliti
sijaona mpaka sasa uthibitisho wa usaliti wa zitto kwa chadema, naona tu watu wanasema kulia na kushoto hata tukisema waweke evidence hamna, okey hata kama evidence hamna basi waweke logical sequence and explanations nazo zinakataa kabisa
Naona kuna udhaifu wa kawaida kwa zitto kama mtu, na udhaifu mkubwa wa chadema kama taasisi, wote wanahitaji masahihisho. Sioni sababu ya CDM kutumia nguvu kubwa kwa zitto ni ishara the war was long started tulichoona sisi wa nje ni hitimisho la vita. period
Wabe
Sera mojawapo ya chama ni kuruhusiwa kuingia na rungu kwenye vikao halali vya chama,Ha ha ha mkuu umenichekesha sana. Hasa hilo jina ndo lilikuwa linawafaa. Kwa kuundwa chama hiki cha Wasaliti tutegemee kuona ngumi kati yao kila siku, kwani hiki ni chana wanajela utategemea nini zaidi ya uhalifu.
Ha ha haa Waberoya bana kwa vile issue imekuja negative kwa Zitto basi ihusishwe moja kwa moja na Chadema be gentleman.Anashauri nini hasa? Zitto ni expert wa vita?? au M23 wanataka issues za uchumi??
ebu shirikisha ubongo, au tupe TOR aliyopewa na M23 awe mshauri wao
kwa maana nyingine alianza lini huu ushauri? hivi mnajua issues za zitto kama hizi kama kweli zipo zinaigusa moja kwa
moja chadema??
Waberoya unataka evidence zipi? hata kama hutaki kukubaliana na evidence zilizotolewa na Kamati kuu hata matamshi ya Zitto kwa viongozi wake hutaki kuyaamini? Zitto anasema yeye haongei na kifaranga(Lissu) anataka kuongea na mama wa vifaranga(Mwenyekiti).
Kwa hali ya kawaida unategemea mtu kama huyo aendelee kukaa na viongozi wake? watafanyaje kazi, evidence gani unataka, hata kama ni demokrasia but this is too much.
Ha ha haa Waberoya bana kwa vile issue imekuja negative kwa Zitto basi ihusishwe moja kwa moja na Chadema be gentleman.
Hii issue ya Zitto kuhusishwa na M23 ililetwa humu ila ikafutwa haraka sana na usidhani washauri wote wa vita ni ma experts wa vita wengine wana interests zao.
Usiangalie kushoto tu angalia na kulia,kama kawa wanakwenda kugawa kura za wapinzani 2015,, CCM wanakwenda kushinda tena 2015... jamani tuwe makini kuna vyama 23+1 =24. tukumbuke watakaopigia kura hivi vyama ni wale ambao wameichoka CCM... Kwa hiyo hii ina maanisha kama walioichoka CCM wako mil 15, maana yake utagawa hiyo mil 15 kwa 24. ila kama CCM nao wana kura mil 15 zitabaki hivyohivyo fixed. wapinzani mfikilie kuwa na coalition otherwise mambo yaleyale.
Usiangalie kushoto tu angalia na kulia,
unajuaje zitagawa kura za wapinzani pekee hujui kuna kundi la Lowassa linaonekana kuwa na nguvu zaidi ambalo halitakiwi ndani ya CCM?.
Feedback wengi mnaongea mengi sana nyuma ya pazia wanaojua ukweli na nini kinaendelea ni mbowe na zitto.
Ukitaka nijadili CDM na zitto tutachukua siku mbili tatu , tuwekane sawa na nikueleze kwa nini kila upande una matatizo na kwa nini CDM kama taasisi ndio looser. zitto awe msaliti au asiwe msaliti, kwa jinsi swala lilivyokuwa handled in the past three months damage ambayo wenyewe CC wameisababisha ni kubwa mno, tena sana kuliko hata zitto kama ameifanya kwa miaka kumi iliyopita
Kama kweli chadema ilikuwa inajua zitto ni msaliti toka huko, basi then haikutumika busara, nyoka akiingia ndani na ukajua yuko chumbani unachoma moto nyumba??
with that capability of handling conflicts do you think Slaa or Mbowe they are capable for the high office -magogoni?? how many conflicts does Mr. Kikwete is facing daily?? how many??
Nikikujibu kwa kukubaliana na wewe kuwa zitto ni msaliti, bado chadema ina makosa
Nikikujibu kwa kupingana na wewe kuwa zitto sio msaliti bado chadema ina makosa
Nikiwa kama wewe na kuangalia mtazamo wako wa CDM ilipo na inapoenda naona mbele giza, unless tupeane mikono na kutiana mioyo
Hivi unajua CCM wanafanya nini saa hizi?? why the hell in this planet the whole convoy of chadema mmejishusha chini kupambana na individual anayeitwa zitto? where is CDM's strengths anyway?? kama hujaona tatizo basi tuache ushabiki
Kwa tunaoijua chadema in and out...wengi mmeangalia results za sasa, tatizo liko from 2009 tulisema san hapa na kutukanwa sana
In other words kama unataka nikueleze ya ukweli, zito was excommunicated from chadema since 2009, na yeye aliona hilo na alilijua hilo
Tatizo la Demokrasia kwa vyama vyetu vyote Tanzania ni severe sana, haya ya kutunga hadithi kama akina shigongo na kanumba ni just RESULTS
Ukirudi nyuma tuanze kuelezea matukio ya mwaka 2008/2009 hautashtuka kuona ya leo
done
Sikumbuki kama ulishawahi kuiasa au kuishauri(vizuri?) Chadema juu ya usaliti wa Zitto zaidi ya thread yako ya usaliti wa Zitto kwa DARUSO, kitu ambacho hata hivyo ulikuja kujikana mwenyewe.Feedback wengi mnaongea mengi sana nyuma ya pazia wanaojua ukweli na nini kinaendelea ni mbowe na zitto.
Ukitaka nijadili CDM na zitto tutachukua siku mbili tatu , tuwekane sawa na nikueleze kwa nini kila upande una matatizo na kwa nini CDM kama taasisi ndio looser. zitto awe msaliti au asiwe msaliti, kwa jinsi swala lilivyokuwa handled in the past three months damage ambayo wenyewe CC wameisababisha ni kubwa mno, tena sana kuliko hata zitto kama ameifanya kwa miaka kumi iliyopita
Kama kweli chadema ilikuwa inajua zitto ni msaliti toka huko, basi then haikutumika busara, nyoka akiingia ndani na ukajua yuko chumbani unachoma moto nyumba??
with that capability of handling conflicts do you think Slaa or Mbowe they are capable for the high office -magogoni?? how many conflicts does Mr. Kikwete is facing daily?? how many??
Nikikujibu kwa kukubaliana na wewe kuwa zitto ni msaliti, bado chadema ina makosa
Nikikujibu kwa kupingana na wewe kuwa zitto sio msaliti bado chadema ina makosa
Nikiwa kama wewe na kuangalia mtazamo wako wa CDM ilipo na inapoenda naona mbele giza, unless tupeane mikono na kutiana mioyo
Hivi unajua CCM wanafanya nini saa hizi?? why the hell in this planet the whole convoy of chadema mmejishusha chini kupambana na individual anayeitwa zitto? where is CDM's strengths anyway?? kama hujaona tatizo basi tuache ushabiki
Kwa tunaoijua chadema in and out...wengi mmeangalia results za sasa, tatizo liko from 2009 tulisema san hapa na kutukanwa sana
In other words kama unataka nikueleze ya ukweli, zito was excommunicated from chadema since 2009, na yeye aliona hilo na alilijua hilo
Tatizo la Demokrasia kwa vyama vyetu vyote Tanzania ni severe sana, haya ya kutunga hadithi kama akina shigongo na kanumba ni just RESULTS
Ukirudi nyuma tuanze kuelezea matukio ya mwaka 2008/2009 hautashtuka kuona ya leo
done
MkamaP naomba nikuulize,Mkuu
Naomba nikusahihishe kidogo nafikiri umekosea.
Tatizo halikuuanza 2009 tu bali limeanza mapema zaidi, pale kulipokuwa na uchaguzi wa Mwenyekiti nafikiri 2007. Ni pale CHACHA WANGWE alipoutaka uenyekiti, kukawaka moto ndani akaitwa msaliti anatumiwa na fisadi RA na CCM, na hatimaye wakamzimisha. Wakaairisha uchaguzi kidogo wakifikiri kwamba hakuna mwingine wa kuutaka umwenyekiti. Mara gafra akaibuka Zitto kuutaka umwenyekiti hapo 2009, kilichomkuta , nafikiri hakuna haja ya kuhadithia.....
MkamaP naomba nikuulize,
Unakubali kuwa NCCR-Mageuzi ilidhoofu kwa kuwa na wasaliti wa ndani na nje? na vile vile unakubali kuwa nguvu za CUF zimepungua kwa kuwa na wasaliti wa ndani na nje? au tatizo limesababishwa na ubovu wa katiba zao?