Chama Kipya Kuundwa Karibuni!!

Vzr kabisa kama waxaliti watakaa pamoja bac nawashauri wafanye haraka hata wale ambao hawaja julikana wajitokeze tu! Wenye wasisubiri kuvuliwa vyeo!
 
Chawad......kimetohoa kwa CUF na CHADEMA.....nakitabiria kung'ara kwenye medani za siasa hapa nchini

King'are kuliko mwenyekiti wake zitto?thubutu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwa hiyo wataviua Vyama vya Adc na nccr-mageuzi, pole yake Mbatia
 
wasimasahu sixgates hata katibu kata maana amekomaa sana kumtetea@zitto and co
Mwenyekiti: Zitto Kabwe,
Katibu Mkuu: Rashid hamad
Katibu Mwenezi: Kafulila
Mambo ya muungano na katiba: Mansoor Yussuf Himid
Jumuia ya Wanawake: Bi. Shonza
Jumuia ya chipukizi: Mwampemba
Baraza la wazee: Arfi
Mkuu wa usalama: Brigedia Nyakarungu
Wapambe: sixgates, .........nk nk.
 
hahahaha chama cha walio fukuzwa.....chama cha wasaliti, ngoja nione sera zao.....
 
Ni kipi hcho? Mungu wangu Waberoya inamaana lazima kutimiza ndoto hata kama muda haujafika?
 
Kwi! Kwi! Kwi! Kwiiiiiii ! Hapo kwenye Wapambe ongezea na MWENYEKITI WA BODABODA TEMEKE !
 
Unadhani alipokuwa mshauri wa waasi wa m.23 ilikuwa bure?Nakumbuka wakati machar anaanza kuongoza uasi South Sudan nilisoma maelezo fb kwenye page ya zzk akionesha kama kufurahia hali hiyo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwa hiyo wataviua Vyama vya Adc na nccr-mageuzi, pole yake Mbatia

Mkuu hiki chama kinasubiri wale watakaoachwa ccm maana ccm wanataka kuwafukuza Team lowasa au Team Sitta.
 
Itasajiliwa tu mwaka huu hata chadema academia
 
Mnaombwa kupendekeza jina na Rangi ya bendera ya Chama
 
Unadhani alipokuwa mshauri wa waasi wa m.23 ilikuwa bure?Nakumbuka wakati machar anaanza kuongoza uasi South Sudan nilisoma maelezo fb kwenye page ya zzk akionesha kama kufurahia hali hiyo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hebu dadavua vizuri kwenye bold, niliwahi kusikia Zitto kuhusishwa na M23 hivi ni kweli?
 
Waberoya uliona nn ukatuletea ile topic ya wasaliti chuo kikuu? Maana wapo Riz ZZK Lyas na wengine wengi.

No, moja ya vitu ambavyo vimenishinda sana katika maisha yangu ni kupingana na akili zangu

napenda kuwa huru sana kuuliza lolote lile kwa kadiri ninavyoona

kwa issues za hivi karibuni za chadema na zitto naona kuna mapishi mengi ya neno usaliti

sijaona mpaka sasa uthibitisho wa usaliti wa zitto kwa chadema, naona tu watu wanasema kulia na kushoto hata tukisema waweke evidence hamna, okey hata kama evidence hamna basi waweke logical sequence and explanations nazo zinakataa kabisa

Naona kuna udhaifu wa kawaida kwa zitto kama mtu, na udhaifu mkubwa wa chadema kama taasisi, wote wanahitaji masahihisho. Sioni sababu ya CDM kutumia nguvu kubwa kwa zitto ni ishara the war was long started tulichoona sisi wa nje ni hitimisho la vita. period

Wabe
 
Watu humu kwa kweli ni waajabu aisii. Watu walishabikia afukuzwe aanzishe chama chao, leo kuna vuguvugu la chama kipya jamaa ooo sheria iangaliwe upya ya unzishaji vyama, ooh due diligence. Kwa mtu unashindwa kuelewa in first place, hawa watanzania wanataka nini.
 
We ka babu kwa nini usipige simu polisi kutoa hizo taarifa moja kwa moja ili akakamatwe na taratibu ifanyike kwa hao wengine kwa kumficha jambazi.
 
Waberoya uliona nn ukatuletea ile topic ya wasaliti chuo kikuu? Maana wapo Riz ZZK Lyas na wengine wengi.

Unadhani alipokuwa mshauri wa waasi wa m.23 ilikuwa bure?Nakumbuka wakati machar anaanza kuongoza uasi South Sudan nilisoma maelezo fb kwenye page ya zzk akionesha kama kufurahia hali hiyo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Anashauri nini hasa? Zitto ni expert wa vita?? au M23 wanataka issues za uchumi??

ebu shirikisha ubongo, au tupe TOR aliyopewa na M23 awe mshauri wao

kwa maana nyingine alianza lini huu ushauri? hivi mnajua issues za zitto kama hizi kama kweli zipo zinaigusa moja kwa
moja chadema??

Ili uwe rais wa nchi haiishii tu kupiga kura, kuna issues nyingi ambazo usalama wa taifa na jeshi lazima wajiridhishe, kote duniani ndio hivyo....Chadema must have an influence TISS na JWTZ kupata nchi hii, lazima

sasa bila kujua mnavyompaka matope zitto na kutunga hizi hadithi mnakiua chadema.

suppose zitto akasema ndio na akasema CDM wote wanahusika??

kwa nini mnampa nafasi adui (kama kweli)?? sijajua hii spirit mpya ya wanachadema juu ya zitto kama inashirikisha na akili zenu au ni kupopoa tu mawe ya mdomoni??

Ebu zungumzeni sense jamani plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…