CHAMA Kinazama! Nani Alaumiwe?

CHAMA Kinazama! Nani Alaumiwe?

Tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele. Kigumu chama cha wauza unga, majangili, mafisadi na magaidi, KIGUMU!!!!!

Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro akiwa amesimama kando kando ya barabara tope, kufuatia eneo hilo kuharibika kutokana na mvua kunyesha na kusababisha utelezi mkubwa eneo hilo. Anawaza, "Ningekuwa New York shida kama hizi hakuna kabisa."

Kwani New york kwao!?
 
chama kinauzwa na ukoo wa kichaga , shemejio na wapangaji wao akina slaa, mbowe, lema, mnyika, lissu na wengineo wengi tu.
 
Dalili ni tosha, Chadema kinaanguka kwa kasi kubwa huku uhai wa chama unazidi kuteterereka pamoja na mifarkano inayotokea chamani kutokana na kuwepo uongozi wa KIIMLA unaoendekeza mgawanyiko wa wanachama kutokana na ukanda ukabila na udini.
Uongozi legelege katika chama umechangia kuwepo kwa maamuzi kufanywa na Mwenyekiti pamoja n Katibu Mkuu huku Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu Bara wakitengwa katika vikao vya maamuzi.

Yote yanayotokea hivi sasa yamesababishwa na ubabaishaji wa Mheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ambao wamegeuza CHADEMA kuwa taasisi yao wakifuata maelekezo ya Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei.

Ushauri wa bure kwa CHADEM, kaeni chini mjadili namna ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014

Ushauri Mzuri sana, ila hawa MAMANGI hawaambiliki.
 
makalio wewe....

Asante kwa kunitukana ila ukweli unauma. Yani wewe ndio umekuja kabisa kudhihirisha nlichokiandika, nyie maccm mna matatizo sana, nyie ni mafisadi makubwa na mna mnatukana hafi bungeni tena mic zikiwa on.
Ndio maana sishangai
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nawapongeza sana wanachama na wapenzi wote wa Chama cha Mapinduzi kwa mapenzi yao makubwa kwa CHADEMA endeleeni kuipigia debe na kuipigania hatimaye CDM watashinda.
 
Dalili ni tosha, Chadema kinaanguka kwa kasi kubwa huku uhai wa chama unazidi kuteterereka pamoja na mifarkano inayotokea chamani kutokana na kuwepo uongozi wa KIIMLA unaoendekeza mgawanyiko wa wanachama kutokana na ukanda ukabila na udini.
Uongozi legelege katika chama umechangia kuwepo kwa maamuzi kufanywa na Mwenyekiti pamoja n Katibu Mkuu huku Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu Bara wakitengwa katika vikao vya maamuzi.

Yote yanayotokea hivi sasa yamesababishwa na ubabaishaji wa Mheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ambao wamegeuza CHADEMA kuwa taasisi yao wakifuata maelekezo ya Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei.

Ushauri wa bure kwa CHADEM, kaeni chini mjadili namna ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014
1473012_242338115927322_576592453_n.jpg
 
Chadema kinaanguka na anguko lake linaonekana .. Wenye akili zao wenye kuipenda Tanzania waiopenda vyama wanaelewa ninavhomaanisha
 
Chama kinacho anguka ni CCM tena kwa kasi ya ajabu,na hii imesaidia kuikuza CHADEMA kwa SUPERSONIC speed. Kwa heri CCM na Maovu yenu.
 
Hata mwasisi wa Chadema Edwin Mtei katika kitabu chake cha "the Ghost of Mtei" katika utangulizi wake anaweka wazi maana ya Chadema ni "Chagga Development Manifesto" na hivyo chama hicho kubaki mikononi mwa kabila hilo. Sina nia mbaya na kabila la wachaga ninachojaribu kufafanua ni kwamba chadema ni chama cha kikabila na kikanda.
Ikumbukwe kwamba Zitto Kabwe alipotaka kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho mzee Mtei alimnyooshea kidole na kumtolea maneno makali yaliyonukuliwa akisema "I cant leave my party to a man from no where" kauli ambayo mimi naitafsiri ni ukabila.
Katika bunge lililoisha mwenyekiti wa chadema alitetea kwa nguvu zote sera ya chama chake ya siasa za majimbo kwa kile alichokiita kupunguza madaraka makubwa kwa serikali kuu, na siku chache baadae aliyekua mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema alikaririwa akisema "nina uwezo wa kumzuia Rais na Waziri mkuu wasikanyage Arusha" Kauli hii imekuja kupigiliwa msumari na Mbunge wa Arumeru mashariki mkoani Arusha kwa tiketi ya chadema Joshua Nassari kua mikoa ya kaskazini itajitenga na kumtaka Rais Kikwete kutumia pasi ya kusafiria kwenda katika mikoa hiyo. Je huu si uhaini? Je utanishawishi vipi nisiamini kwamba Nassari hakuropoka bali ni mipango na sera za Chadema?
Ninachoamini ni kwamba alichofanya Nassari ni kuvujisha siri za chama chake.
 
Back
Top Bottom