CHAMA Kinazama! Nani Alaumiwe?

CHAMA Kinazama! Nani Alaumiwe?

Mrema aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kubebwa na kusukumwa kwenye gari.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kurushiwa mawe na kufukuzwa jukwaani kwa mabango.

Lipumba aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kupewa kibano na polisi.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kuwaamrisha polisi wawadhibiti wananchi na kuokolewa na kuhifadhiwa na polisi ili asidhuriwe.

Haya yote ni maendeleo...

Cc Mkirua
 
Last edited by a moderator:

Tusisahau pia kuwa JK ameweka historia ya kuwa Rais wa kwanza kupigwa mawe akiwa madarakani .......
 
Last edited by a moderator:
Dalili ni tosha, Chadema kinaanguka kwa kasi kubwa huku uhai wa chama unazidi kuteterereka pamoja na mifarkano inayotokea chamani kutokana na kuwepo uongozi wa KIIMLA unaoendekeza mgawanyiko wa wanachama kutokana na ukanda ukabila na udini.
Uongozi legelege katika chama umechangia kuwepo kwa maamuzi kufanywa na Mwenyekiti pamoja n Katibu Mkuu huku Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu Bara wakitengwa katika vikao vya maamuzi.

Yote yanayotokea hivi sasa yamesababishwa na ubabaishaji wa Mheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ambao wamegeuza CHADEMA kuwa taasisi yao wakifuata maelekezo ya Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei.

Ushauri wa bure kwa CHADEM, kaeni chini mjadili namna ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014

wema wa mshumaa kumulikia wengine huku unateketea.maombi yenu day inn day out chadema kife sasa lumumba fc mnaona huruma? Mngajielekeza kusaidia chama chenu ambacho kimebaki kufanya maigizo
 
Tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele. Kigumu chama cha wauza unga, majangili, mafisadi na magaidi, KIGUMU!!!!!

Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro akiwa amesimama kando kando ya barabara tope, kufuatia eneo hilo kuharibika kutokana na mvua kunyesha na kusababisha utelezi mkubwa eneo hilo. Anawaza, "Ningekuwa New York shida kama hizi hakuna kabisa."
 
Dhahabu ili iwe safi hupitishwa katika moto! Ili Mzabibu uzae hukatwa matawi yale ya zamani ili mapya yachipuke na kuzaa kwa msimu mpya! Kilichotokea Chadema ni positive! Kinaimarisha chama badala ya kudhoofishwa! Wanaosubiri kife nawashauri wasubiri siku ya kuzikwa ambayo haitatokea bali watashangaa kinatawazwa kukaa katika kiti cha enzi!
 
CHADEMA Kwishney!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:deadhorse: Kushabikia CDM = riding a died Horse.
 
Hivi kwanini huyu msajiri wa vyama vya siasa hakifuti chadema kama ni chama cha kikabila!? au ninyi mnaosema chadema ni chama cha kikabila ndo wapika fitna na wazandiki? nchi hii hatutaki mambo ya kikabila,udini wala ubaguzi wa aina hiyo.Sasa kwanini ninyi mnaojua na mna ushahidi msiupeleke kwa msajiri wa vyama na akifute chadema?

Msiopenda Chadema iwepo,mtasema sana na hata kukaukiwa mate midomoni,ila CHADEMA tunaendelea kuililia ktk roho na mwili.TUTASHINDA JARIBU HILI LA KISIASA
 
Kaskazini ndiko yaliko yote mema ya dunia. Kaangalie ramani ya dunia uone maendeleo yako nchi zilizoko upande gani? Cheki hata Dar wilaya yenye maendeleo iko wapi?

Angalia hata rais wako JK katika siku zaidi ya 360 alizopiga misele nje kaenda nchi zilizoko wapi? Heshimi sana Kaskazink maana huko ndiko alikotokea hata nyerere aliyewakomboa.

Kuna ukweli ndani yake!
 
Itashangaza wengi Chedema
Subirin muone ka itakufa then bado tunasubiri minyukano ya majambazi kupata madaraka, hapo ndipo overtake ilipo
 
Chama cha Kichaga.
1. Ni mafisadi lakini wanajifanya kupinga ufisadi.
2. Madikteta waliokubuhu.
3. Walaghai ili kuendeleza kinachoitwa business as usual.
Hovyo!
 
Teh teh upo Tanzania hii???muulize nini kilimkuta mbeya!!!

Mbeya kuna vijana watatu walirusha mawe kwenye gari la waandishi wa habari waliokuwa kwenye msafara wa Rais.

Rais hajawahi kurushiwa mawe.
 
Hebu angalia tena ramani ya Dunia halafu tuelekezane upya!

hobodyer-large.jpg
Hivii MAREKANI iko upande gani mwa bara la AMERICA.Kama hujui ulizia hata kwa walimu wako wa geography ulikopita.
 
Huo ndo ukweli wenyewe. Maana halisi ya kaskazini kwa kila lugha ni zaidi ya tunavofikiria. Angalia mfano hata kwa sumaku tu uone maana halisi ya kaskazini.

Takwimu za mafisadi wa hii nchi wanatokea kaskazini.ha slaa mbowe lema mnyika mtei halima mdee ndesamburo
 
Wadanganye hao wenzio magamba ili walerax then utakiona cha moto!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Dalili ni tosha, Chadema kinaanguka kwa kasi kubwa huku uhai wa chama unazidi kuteterereka pamoja na mifarkano inayotokea chamani kutokana na kuwepo uongozi wa KIIMLA unaoendekeza mgawanyiko wa wanachama kutokana na ukanda ukabila na udini.
Uongozi legelege katika chama umechangia kuwepo kwa maamuzi kufanywa na Mwenyekiti pamoja n Katibu Mkuu huku Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu Bara wakitengwa katika vikao vya maamuzi.

Yote yanayotokea hivi sasa yamesababishwa na ubabaishaji wa Mheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ambao wamegeuza CHADEMA kuwa taasisi yao wakifuata maelekezo ya Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei.

Ushauri wa bure kwa CHADEM, kaeni chini mjadili namna ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014
Chama hakiwezi kuzama kwenye keyboard wewe.
Namnukuu Mwenyekiti wa ccm ndugu Jakaya Mrisho Kikwete "CDM lazima iwakate"
 
Dalili ni tosha, Chadema kinaanguka kwa kasi kubwa huku uhai wa chama unazidi kuteterereka pamoja na mifarkano inayotokea chamani kutokana na kuwepo uongozi wa KIIMLA unaoendekeza mgawanyiko wa wanachama kutokana na ukanda ukabila na udini.
Uongozi legelege katika chama umechangia kuwepo kwa maamuzi kufanywa na Mwenyekiti pamoja n Katibu Mkuu huku Makamu Mwenyekiti na Naibu Katibu Mkuu Bara wakitengwa katika vikao vya maamuzi.

Yote yanayotokea hivi sasa yamesababishwa na ubabaishaji wa Mheshimiwa Mbowe na Dr. Slaa ambao wamegeuza CHADEMA kuwa taasisi yao wakifuata maelekezo ya Muasisi wa Chadema, Mzee Edwin Mtei.

Ushauri wa bure kwa CHADEM, kaeni chini mjadili namna ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014

Sijaona ulichomaanisha, au ndo mwendelezo ili mradi siku iingie..!?
 
Back
Top Bottom