Gamba Jipya
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 401
- 80
Kwa kuwa vyama vya upinzani vinapewa fedha ya ruzuku kutoka serikali ya CCM, Ni vyema na haki kwa wananchi kuelewa mapato na matumizi ya hizo ruzuku na tusisubiri report kutoka kwa CAG, kwa kuwa CDM ni chama kikuu cha upinzani huku kikiwa na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ingekuwa vizuri wakatueleza ni kiasi gani cha ruzuku wanachopata kila mwezi na matumizi yake yakoje,
Kwenye makabrasha yangu inaonesha serikali ya CCM hukipatia chama cha CDM takribani sh. milioni mia saba tsh 700,000,000 kila mwezi ili chama hicho kiweze kujikimu na ugumu wa maisha na kupata posho za kufanya mikutano ya hadhara na maandamano mbalimbali nchini.