Chama cha Mapinduzi yafanya kufuru Kinondoni

Chama cha Mapinduzi yafanya kufuru Kinondoni

Umetoa somo zuri sana.
Ni somo ambalo makamanda hilikosea mara kwa mara
Ahsante...unajua wananchi wanafuata mkumbo; dawa yake ni kuwapa elimu ya uraia.Wengine wamejazwa hofu,wanahitaji wahakikishiwe security kwamba wanaweza kumchagua yeyote na chama dola au serikali isimnyanyase yeyote.
# vote 4 mwalimu#
 
Lkn hakukuondoi wewe kwenye ushithole, au unafikiri wewe Muzungu atakuruka?
halafu badili iyo mind set yako kuhusu mzungu. wazungu hawana roho mbaya kama unavyotaka kutuaminisha
 
Back
Top Bottom