captain dunga
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 282
- 638
Nimeshuhudia watu wakibebwa toka Kimara mwisho..
Haki ya mungu.
Haki ya mungu.
shithole country
Ngombe wa chakubanga naona uko shift kwani huko mnalipwa kwa siku au idadi ya thread mnazofungua? tupeane michongo kataa kuwa kaaLeo kwenu kinondoni Ngoma imebuma![]()
Mnaweza kujidanganya lakini siyo kwa maisha ya sasa.anyway hongera sana.Maana kuna wanaccm tulipishana wakiwa ndani ya basi wakitokea Tageta na BunjuKama mjumbe wa Kamati ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam niseme asante wana kinondoni kwa kuonyesha uzalendo wa Hali ya juu kwa kufika kwa wingi katika ufunguzi wa Kampeni wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la kinondoni ndugu Maulid Mtulia.
Ombi langu kwenu wana kinondoni tuendeleze moyo huu mpk tarehe 17 February 2018 kwa kuchagua Mgombea wa chama cha Mapinduzi ndugu Maulid Mtulia kuwa Mbunge wetu.
Kwa maendeleo ya Jimbo letu jawabu ni Maulid Mtulia, Elimu bila malipo, madawa hospitalini, maji bwerere na kikubwa ni Amani na Utulivu ktk Jimbo letu.
Chagua Mtulia chagua Amani yako na familia yako nyumbani mwako.
Wembe ni ule ule ushindi.
Asante sana Dr Mwigulu Nchemba kwa hotuba nzuri iliyojaa hekima na Busara hakika ccm ina vijana mahiri sana.
Sisi team ya kampeni tunawahidi wanaccm kote nchini kuleta ushindi mapemaaaa tena tutafunga Goli la tikitaka huku tumevaa msuli.
Kinondoni 2018 ni Maulid Mtulia
Kidumu chama cha Mapinduzi.![]()
![]()
![]()
Kapicha please ka hao MakamandaChadema kimara walikodi Mwendokasi!
Kapicha pliz ka hao KijaniMalori yalitusomba kutoka kigamboni
Swissme
Kwani wewe unaishi maeneo gani hukuweza kuyaona?Subiria sanduku la kura wewe,kwa hiyo wewe kazi yako leo ilikuwa kuangalia malori yakisomba watu?
Wewe kuwa na akili ya kuchanganua mambo usiwe kama zuzu unalishwa matango pori unakenua meno na macho bila kuhoji, hawa watu wengi wameletwa huku Kinondoni na maroli ya mizigo ili kuja kushiriki kampeni, na wala siyo wakaazi wa Kinondoni![]()
Duh, ndio maana leo makamanda wamenyong'onyea.
Safari hii mnafungwa goli kwa tikitaka huku watu wamevaa misuli.Wewe kuwa na akili ya kuchanganua mambo usiwe kama zuzu unalishwa matango pori unakenua meno na macho bila kuhoji, hawa watu wengi wameletwa huku Kinondoni na maroli ya mizigo ili kuja kushiriki kampeni, na wala siyo wakaazi wa Kinondoni
Sasa kuonesha picha za jukwaa kuu ndio nini wewe mzee mfia fisiemu?!Leo kwenu kinondoni Ngoma imebuma![]()
Labda..Hapo wakazi wa kinondoni ni %2 tu. Waliobaki maroli yanawahusu
Bila kufanya hivyo mjinga gani ataenda kujaza uwanja wa ccmNimeshuhudia watu wakibebwa toka Kimara mwisho..
Haki ya mungu.
Nilidhani ni akili zako? Kumbe ni za Wenye ex- mbunge...aliyepokonywa jimbo na ccm 2015 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji43]![]()
Leo hiyo mnyamala kndoni hatutaki msaliti, mwanaume wa kweli hawezi kununulika wenje kasema huyo mtulia ni sweet baby ametongozwa akanunulika!
Ulilazimishwa? Kaone kwanzaMalori yalitusomba kutoka kigamboni
Swissme