Chama cha Mapinduzi yafanya kufuru Kinondoni

Chama cha Mapinduzi yafanya kufuru Kinondoni

Acheni kelele nyumbu subirini dawa iingie
9472ae1576d35912e31dfa96cc042f41.jpg
af0270b65bbe3893285b027a0261c354.jpg
 
Kuipenda ccm inaitaji ujitoe akili kidogo maana nilijaribu ila nimeshindwa
 
Mchezo ule ule, gambas karata yenu turufu ni kuchakachua tu.
 
Hii siyo habari njema hata kidogo!mtamlaumu nani safari hii sasa jamani!!!?
Fainali ni matokeo ya uchaguzi tusubiri,cdm mnachonga tu jf badala ya kupiga kampeni live

Haya subirini zawadi yenu kutoka kwa wananchi
 
Kama mjumbe wa Kamati ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam niseme asante wana kinondoni kwa kuonyesha uzalendo wa Hali ya juu kwa kufika kwa wingi katika ufunguzi wa Kampeni wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la kinondoni ndugu Maulid Mtulia.
Ombi langu kwenu wana kinondoni tuendeleze moyo huu mpk tarehe 17 February 2018 kwa kuchagua Mgombea wa chama cha Mapinduzi ndugu Maulid Mtulia kuwa Mbunge wetu.
Kwa maendeleo ya Jimbo letu jawabu ni Maulid Mtulia, Elimu bila malipo, madawa hospitalini, maji bwerere na kikubwa ni Amani na Utulivu ktk Jimbo letu.
Chagua Mtulia chagua Amani yako na familia yako nyumbani mwako.
Wembe ni ule ule ushindi.
Asante sana Dr Mwigulu Nchemba kwa hotuba nzuri iliyojaa hekima na Busara hakika ccm ina vijana mahiri sana.
Sisi team ya kampeni tunawahidi wanaccm kote nchini kuleta ushindi mapemaaaa tena tutafunga Goli la tikitaka huku tumevaa msuli.
Kinondoni 2018 ni Maulid Mtulia
Kidumu chama cha Mapinduzi.
093f0dc5e20ef184cd2aa45aa82b22dc.jpg
24d0d42191a8982541ec626ff6e8bb3e.jpg
51f6b8eefb4ccdff48b62f373b642cc8.jpg
hizi picha ni za mgombea uraisi 2015 wa ccm . tunamuona magu hapo akiomba kura. acheni uongo wa photo shop
 
Kwani wananchi walilazimishwa kwenda?
My take: wana mabadiliko waendelee na kampeni kwa mikakati,sera na agenda za wazi.They have to deal with "ideas" and not people.Waache kumtaja Msaliti and the like...watoe kile wanachokikusudia kukifanya.Watumie experience ya majimbo mengine ya jirani i.e Kibamba,Ubungo n.k.
Huu ni wakati wa kuwaelimisha wananchi wa Kinondoni.Hatuwezi kufuja fedha za umma kwa chaguzi ambazo hazikuwa na ulazima....wananchi waombwe kura badala ya "kulalamika" kwamba no democracy and whatever.
 
Umetoa somo zuri sana.
Ni somo ambalo makamanda hilikosea mara kwa mara
 
Back
Top Bottom