gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Acha wajaribu kufunga goli wakiwa wamevaa misuli tutawatoboa makende yaoSafari hii mnafungwa goli kwa tikitaka huku watu wamevaa misuli.
Acha wajaribu kufunga goli wakiwa wamevaa misuli tutawatoboa makende yaoSafari hii mnafungwa goli kwa tikitaka huku watu wamevaa misuli.
Unajitwika picha ya Malcolm X halafu mtu mwenyewe una akili za kilofa.Acha wajaribu kufunga goli wakiwa wamevaa misuli tutawatoboa makende yao
Akili za kilofa zaaje mkuu?!Unajitwika picha ya Malcolm X halafu mtu mwenyewe una akili za kilofa.
Akili za kuongelea makende. Hizo ni akili za kilofa lofa.Akili za kilofa zaaje mkuu?!
Aibu itawapata.ni suala la muda tu!!!.Kama mjumbe wa Kamati ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam niseme asante wana kinondoni kwa kuonyesha uzalendo wa Hali ya juu kwa kufika kwa wingi katika ufunguzi wa Kampeni wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la kinondoni ndugu Maulid Mtulia.
Ombi langu kwenu wana kinondoni tuendeleze moyo huu mpk tarehe 17 February 2018 kwa kuchagua Mgombea wa chama cha Mapinduzi ndugu Maulid Mtulia kuwa Mbunge wetu.
Kwa maendeleo ya Jimbo letu jawabu ni Maulid Mtulia, Elimu bila malipo, madawa hospitalini, maji bwerere na kikubwa ni Amani na Utulivu ktk Jimbo letu.
Chagua Mtulia chagua Amani yako na familia yako nyumbani mwako.
Wembe ni ule ule ushindi.
Asante sana Dr Mwigulu Nchemba kwa hotuba nzuri iliyojaa hekima na Busara hakika ccm ina vijana mahiri sana.
Sisi team ya kampeni tunawahidi wanaccm kote nchini kuleta ushindi mapemaaaa tena tutafunga Goli la tikitaka huku tumevaa msuli.
Kinondoni 2018 ni Maulid Mtulia
Kidumu chama cha Mapinduzi.![]()
![]()
![]()
Nivigumu kuamini jinsi watawala wanavyowachukulia wananchi. Hii ni dharau iliyopitiliza.![]()
Duh, ndio maana leo makamanda wamenyong'onyea.
Oky sawa Magonjwa mtambukaAkili za kuongelea makende. Hizo ni akili za kilofa lofa.
Haya sawa.Oky sawa Magonjwa mtambuka
Watu wenyewe chokaa ile mbaya.Leo kwenu kinondoni Ngoma imebuma![]()
Duh sad walahiWw boya umekuja leo mjini hiijui hata kndoni, hiyo pic nimepiga mimi leo uwanja wa mapilau angalia jengo kule mwisho kama utaweza kulitambua
Hahaha Yaani ni kwishney kabisa!Watu wenyewe chokaa ile mbaya.
Umeshahamia CCM?Malori yalitusomba kutoka kigamboni
Swissme
Hoi bin taabanLeo kwenu kinondoni Ngoma imebuma![]()
Kuna masweet baby wengi sana huko wanaosubiri kununuliwa![]()
Leo hiyo mnyamala kndoni hatutaki msaliti, mwanaume wa kweli hawezi kununulika wenje kasema huyo mtulia ni sweet baby ametongozwa akanunulika!