Chama cha Mapinduzi yafanya kufuru Kinondoni

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
1,984
Reaction score
1,409
Kama mjumbe wa Kamati ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam niseme asante wana kinondoni kwa kuonyesha uzalendo wa Hali ya juu kwa kufika kwa wingi katika ufunguzi wa Kampeni wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la kinondoni ndugu Maulid Mtulia.
Ombi langu kwenu wana kinondoni tuendeleze moyo huu mpk tarehe 17 February 2018 kwa kuchagua Mgombea wa chama cha Mapinduzi ndugu Maulid Mtulia kuwa Mbunge wetu.
Kwa maendeleo ya Jimbo letu jawabu ni Maulid Mtulia, Elimu bila malipo, madawa hospitalini, maji bwerere na kikubwa ni Amani na Utulivu ktk Jimbo letu.
Chagua Mtulia chagua Amani yako na familia yako nyumbani mwako.
Wembe ni ule ule ushindi.
Asante sana Dr Mwigulu Nchemba kwa hotuba nzuri iliyojaa hekima na Busara hakika ccm ina vijana mahiri sana.
Sisi team ya kampeni tunawahidi wanaccm kote nchini kuleta ushindi mapemaaaa tena tutafunga Goli la tikitaka huku tumevaa msuli.
Kinondoni 2018 ni Maulid Mtulia
Kidumu chama cha Mapinduzi.
093f0dc5e20ef184cd2aa45aa82b22dc.jpg
24d0d42191a8982541ec626ff6e8bb3e.jpg
51f6b8eefb4ccdff48b62f373b642cc8.jpg
 
Duh, ndio maana leo makamanda wamenyong'onyea.
 
Kwani wasipo mchagua huyo sweet baby, watoto wa kinondoni hawatopata elimu bite, mh rais si alisema serikali ya chama chetu kinawaudumia wananchi wote bila kujali itikadi vyao vya kichama dini, kabila na rangi?
Mbona unaleta ubaguzi wewe mfia Chama, sio huyu huyu rais atokanaye na chama chetu alisema wakina mama na wananchi wote watapata huduma sawa regardless of their political party affiliate.?
Tunapo tunga uzi wana ccm tuwe makini sana, tunaweza kuzani tunajenga kumbe tunabomoa.. Tuacha umbumbumbu.
 
Leo kwenu kinondoni Ngoma imebuma
6cddde755320b8f7d889f0f7166aa43b.jpg
 
We mjumbe wa kamati ya kampeni si kuna msemo wenu mnasema maendeleo hayana chama sasa iweje huyo mtu alishindwa kutimiza ahadi zake akiwa CUF halafu aweze akiwa CCM,hafai mtulia msitudanganye!kama wewe ni wakala wake kwa wananchi mwambieni kabisa hafai!watu mchana wanakula ccm usiku chadema msijidanganye na msitudanganye watanzania
 
Back
Top Bottom