Chama Cha Mapinduzi TUKAZE BUTI

Chama Cha Mapinduzi TUKAZE BUTI

Maendeleo ya kweli ya nchi inategemea ustawi na uimara wa CCM, ikumbukwe CCM ni chama pekee chenye mizizi toka kaskazini hadi kusini, mashariki mpaka magharibi. Watz kwetu sote CCM ni mlezi wa mageuzi, tusishahau TULIKOTOKA!!! CDM ni mvua ya msimu tusibweteke nacho!!!

KIFO CHA CCM NI KURUDISHA NYUMA JITIHADA ZA WATZ KUJIKOMBOA KIUCHUMI NA KIFKRA

too conservative my 4rend
 
kabla ya kukaza buti ni vyema mkaangalia kama sole imetoboka au la!
 
CCM tutumie matokeo ya kesi ya ubunge wa Igunga NA twende na wakati ILI:
1. Tutenganishe nafasi ya kisiasa na kiserikali
2. Raslimali na vyeo vya kiserikali visiwe ni kigezo cha kupatia kura
3. Tutumie vijana walioenda shule katika kuibua makombora ya kushambulia CDM majukwaani
4. Wakati umefika kwa Mwigulu, Nape, Lusinde kuachwa kutumika wakati wa kampeni
5. Tuepuke kutumia viongozi wa BAKWATA (Masheikh) kwa vile waislam walio wengi hawana mshiko na BAKWATA

kwa kipindi iki Hamuwezi kusimama bila
1.fitina za bakwata kwan CCM ni wafitini pia wanafiki
2.matusi ya kina lusinde, mchemba nk ndo imekuwa salama yenu kuwanasa wanachama walolelewa vbaya
3. vjana waloenda shule katu hamtawapa kwan wanaujua unafiki wenu asa mloufanya pale UDOM
4.Rasilimali za serikali ndo pona yenu kwan chama hakina lolote bila kuifisad serikali
IN SHORT MMEJAA FITINA PIA UNAFIKI NA IYO NDO PONA YENU
 
Maendeleo ya kweli ya nchi inategemea ustawi na uimara wa CCM, ikumbukwe CCM ni chama pekee chenye mizizi toka kaskazini hadi kusini, mashariki mpaka magharibi. Watz kwetu sote CCM ni mlezi wa mageuzi, tusishahau TULIKOTOKA!!! CDM ni mvua ya msimu tusibweteke nacho!!!

KIFO CHA CCM NI KURUDISHA NYUMA JITIHADA ZA WATZ KUJIKOMBOA KIUCHUMI NA KIFKRA
purest vapour of the day! tuwachague tena CHAMA CHA MABWEPANDE ili muendelee kutukandamiza kwa kuchukua kinguvu pesa yetu ya NSSF! katika vitu vimeniuma ni hicho wallah! na kamwe sitashauri hata kizazi changu kuichagua ccm, ni bora kujua hakuna mtawala, kuliko mtawala atumiaye nguvu na mabavu!
 
Hapa mulipo sasa CCM kiatu tayar kimeshavuka. Hapa inabidi mukaze mkwiji wa C...i ili isiteremke. Sasa pata picha mtu anakimbia huku kufuli linashuka sijui inakuwaje.....
 
:hat:
Maendeleo ya kweli ya nchi inategemea ustawi na uimara wa CCM, ikumbukwe CCM ni chama pekee chenye mizizi toka kaskazini hadi kusini, mashariki mpaka magharibi. Watz kwetu sote CCM ni mlezi wa mageuzi, tusishahau TULIKOTOKA!!! CDM ni mvua ya msimu tusibweteke nacho!!!

KIFO CHA CCM NI KURUDISHA NYUMA JITIHADA ZA WATZ KUJIKOMBOA KIUCHUMI NA KIFKRA
Kwa haya maneno yako mheshimiwa nakuunga mkona kwani bado ccm tuna nafasi ya kuongoza nchi. labda kwa kuongezea hapo ni pamoja na kutimiza ahadi zake. hizi ndizo nguzo muhim kama viongozi wa chama watasimamia hili ccm bado tutawika

CHADEMA WANAVUNA WANACHA USIKU NA MCHANA:
MIMI kama mwanacha wa ccm bila kuficha nakubaliana na hilo la chadema kuvuna wanachama wengai, ilanaomba tuwe na mtazamo zaidi kwa hilo kwamba, hao wanachama wanaovunwa usiku na mchana ni wanamnagani? na tujaribu kuwachunguza kwa undani kwa kila mwanacha anayeingia chadem.TUTAPATA MAJIBU NA TUTAKIRI WENYEWE KWAMA WANAOJIUNGA NA CHADEMA, NI WACHAGA, WALEVI WA VIRORO, NA WALEVI WA MADARAKA WAKIKOSA MADARAKA CCM WANAHAMIA CHADEMA.
 
:hat:
Maendeleo ya kweli ya nchi inategemea ustawi na uimara wa CCM, ikumbukwe CCM ni chama pekee chenye mizizi toka kaskazini hadi kusini, mashariki mpaka magharibi. Watz kwetu sote CCM ni mlezi wa mageuzi, tusishahau TULIKOTOKA!!! CDM ni mvua ya msimu tusibweteke nacho!!!

KIFO CHA CCM NI KURUDISHA NYUMA JITIHADA ZA WATZ KUJIKOMBOA KIUCHUMI NA KIFKRA
Kwa haya maneno yako mheshimiwa nakuunga mkona kwani bado ccm tuna nafasi ya kuongoza nchi. labda kwa kuongezea hapo ni pamoja na kutimiza ahadi zake. hizi ndizo nguzo muhim kama viongozi wa chama watasimamia hili ccm bado tutawika

CHADEMA WANAVUNA WANACHA USIKU NA MCHANA:
MIMI kama mwanacha wa ccm bila kuficha nakubaliana na hilo la chadema kuvuna wanachama wengi, ila naomba tuwe na mtazamo zaidi kwa hilo kwamba, hao wanachama wanaovunwa usiku na mchana ni wanamnagani? na tujaribu kuwachunguza kwa undani kwa kila mwanachama anayeingia chadema.TUTAPATA MAJIBU NA TUTAKIRI WENYEWE KWAMba WANAOJIUNGA NA CHADEMA, NI WACHAGA, WALEVI WA VIRORO, NA WALEVI WA MADARAKA WAKIKOSA MADARAKA CCM WANAHAMIA CHADEMA.
 
Wawe walevi au vyovyote utakavyosema but ni watanzania wenzetu ambao mmezoea kuwahonga pombe nyakati za chaguzi. CCm wanakaza buti ambayo inamatobo kuanzia sori mpaka kamba ziko nyang'anyang'a. CCM inakufa huo ndo ukweli. Chukua huu ukweli: Ni lazima kutumia pesa nyingi kwa kampeni chafu kumpata kiongozi?, Ni lazima kutokuwa na tume huru ya uchaguzi?, Ni lazima wakurugenzi wa miji/wilaya kuwanyima wapinzani viwanja vya kufanyia mikutano? ni lazima polisi kuwatisha wapiga kura? ni lazima kutumia mbinu za kiujanjaujanja/ kishetani ili kuiba kura i.e Hotpot,thermos n.k, ni lazima kuua wapinzani wakati wa kampeni?

HAyo yote yanadhihirisha kuwa CCm waiko hai tena kama ambavyo ilikuwa miaka kumi tokea 1977 ambapo mgombea alikuwa anasimama na kivuli au wabunge walikuwa wanachagua either jembe au jogoo. CCM must die ili nchi iende mbele.
 
CCM tutumie matokeo ya kesi ya ubunge wa Igunga kuwa ni changamoto na itupe funzo la kubadili namna ya uendeshaji wa kampeni za uchaguzi pamoja na timu ya kampeni.

Twende na wakati ILI:
1. Tutenganishe nafasi ya kisiasa na kiserikali
2. Raslimali na vyeo vya kiserikali visiwe ni kigezo cha kupatia kura
3. Tutumie vijana walioenda shule katika kuibua makombora ya kushambulia CDM majukwaani
4. Wakati umefika kwa Mwigulu, Nape, Lusinde kuachwa kutumika wakati wa kampeni
5. Tuepuke kutumia viongozi wa BAKWATA (Masheikh) kwa vile waislam walio wengi hawana mshiko na BAKWATA

Mwisho uchaguzi ndani ya chama mwaka huu, utumike kuwapata viongozi wenye dhamira ya kurudisha imani kwa wananchi na si vinginevyo.

Duh mnakumbuka shuka asubuhi wakati kumeshakucha? Kwa hiyo Nape, Mwigulu na Lusinde ndio vichwa mnavyovotegemea kuwatetea kwa wananchi wakati wananchi wa sasa sio wale wa miak ile ya ujinga.watu wanaona wapi upepo unavuma kuelekea na wanajua nini cha kufanya. Acheni kuwadanganya wananchi,waambieni ukweli kuwa hamna jipya,mmechoka na mnahitaji kupumzishwa kuongoza Tanzania.
 
images
kafumu1.jpg

Jamani! Wanatia huruma.
 
Hivi kweli walikuwa hawajui hukumuhawa?
Ni maigizo tu au wako kwenye denial
 
Back
Top Bottom