Chama cha Mapinduzi kimeamua kuanzisha Bank

Chama cha Mapinduzi kimeamua kuanzisha Bank

Itakua benki maalum kwa wanaotuibia fedha zetu
 
Nimewasiliza asubuh kweli ccm kwisha,na star tv wanawatoaga wapi hawa mabwana?na wanabahat hawakuruhusu kupiga cm walijua kabisa.ebwana ccm hatuwatakii hata mgawe pesa kila mahali tulisha wachokaaa,simkubali yaishe jamani me hadi rangi ya kijan na njano nikiziona hua navurugikwa na mwili mzima
 
Wameona bank za uswisi zinawataja bora wajaribu zao
Ulichonena ni point hawa magamba weshaona mabenki ya uswisi hayana siri tena kwa hiyo lengo lao waanzishe benki yao ili wayahamishe mabilioni ya uswisi n'a CEO wa hiyo benki atakuwa mchumi wa daraja la kwanza Mwigulù Nchemba!!!
 
nadhani itaanza na mabiloni ya fedha za kigeni. Njopa utjiunga nayo?
 
Sasa ajira tutapata au????????

Wataajiriwa ....... Lowassa, ........Mwiru, ....... Mchemba, ...... Kikwete, ........ Shimbo, .........Nchimbi. Ongezea wengine.........
 
Wadau hii imekaaje, maana namsikia mwakilishi kutoka CCM Vijana akilizungumzia hapa star TV

Ninocha amini ni kwamba; Benki hiyo itakufa hata kabla haijaanzishwa. Mafisadi na Pesa ni kama Midhipa na Damu. Licha ya kwamba tumeshuhudia hadaa za CCM kuibuka na mijiahadi kila joto la uchaguzi linapo anza kupanda.
 
Itakuwa ni branch ya ile benki kubwa,safi watakuwa wametanua mbawa.
 
Nahisi wanataka kulihamisha tawi lao la Uswiss, bilashaka wameshaanza kuwekewa vikwazo huko. Msije mkashangaa hata BOT wakawa wanakopa fedha huko kwa jinsi zitakavyokuwa nyingi ndani ya muda mfupi sana.
 
Inashangaza wachumi wetu wanavyofikiri (sina hakika kama ni mawazo ya wachumi); kila kikundi kinataka kuanzisha Benki. Vijana, wanawake, vijiji, miji, wazee, vyama vya siasa, vyama vya ushirika n.k. Vyote ni kutaka kutoa mikopo nafuu kwa makundi Yao husika - yaani benki ya wanawake kwa wanawake, ya vijana kwa vijana n.k. Hivi tumeshajiuliza kwa nini benki zilizopo hazitoi hiyo mikopo inayotuvutia tuanzishe Benki?
 
Kuna mikopo kwa ajili ya akina mama. Form zinapatika katika ofisi za CCM. Shariti uwe mwanachama wa CCM, uwe na kikundi na uwe umefungua account inayoitwa FAMILIA katika benki ya BANK ABC.
 
Back
Top Bottom