chama cha mapinduzi, ccm kinaliangamiza taifa.

Mbundumale

Senior Member
Dec 30, 2013
150
42
CHama cha mapinduzi yaani ccm ni chama kinacholiangamiza taifa letu. Chama hiki tawala kimebeba majangili, wezi na mafisadi wasio na huruma na taifa letu.

Chama hiki ndicho kilichounda serikali inayoamurisha polisi kupiga raia wake na hata kuua na mifano ni Mingi.

Hujuma na mabavu kwa wapinzani na wanaharakati kuna ashiria woga wa ccm katika ushindani wa kidemokrasia katika kunadi sera, falsafa, itikadi na uhuru wa mawazo bali mabavu na hujuma kupitia polisi, usalama wa taifa nk.

Kama upinzani ukidhoofika,ccm itaboresha na kuongeza kiwango cha ufisadi,ujangili na Ubambikizaji wapinzani kesi za ugaidi na hivyo taifa kuangamia kabisa.,

Mwaka 2014 na mwaka 2015 tuikatae ccm ili kulikomboa taifa letu vinginevyo vizazi vijavyo vitatemea mate makaburi yetu na historia itatukataa na kutuhukumu.

;
MUNGU Ibariki Tanzania, MUNGU ibariki Afrika ,
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,512
Jf store...
.
Jukwaa la siasa...
.
Jamii intelligence.....
.
.
 
Mbundumale

Senior Member
Dec 30, 2013
150
42
CHama cha mapinduzi yaani ccm ni chama kinacholiangamiza taifa letu. Chama hiki tawala kimebeba majangili, wezi na mafisadi wasio na huruma na taifa letu.

Chama hiki ndicho kilichounda serikali inayoamurisha polisi kupiga raia wake na hata kuua na mifano ni Mingi.

Hujuma na mabavu kwa wapinzani na wanaharakati kuna ashiria woga wa ccm katika ushindani wa kidemokrasia katika kunadi sera, falsafa, itikadi na uhuru wa mawazo bali mabavu na hujuma kupitia polisi, usalama wa taifa nk.

Kama upinzani ukidhoofika,ccm itaboresha na kuongeza kiwango cha ufisadi,ujangili na Ubambikizaji wapinzani kesi za ugaidi na hivyo taifa kuangamia kabisa.,

Mwaka 2014 na mwaka 2015 tuikatae ccm ili kulikomboa taifa letu vinginevyo vizazi vijavyo vitatemea mate makaburi yetu na historia itatukataa na kutuhukumu.

;
MUNGU Ibariki Tanzania, MUNGU ibariki Afrika ,

inafahamika vema sana.Ccm ni janga la kutaifa.
 
Dec 15, 2013
9
4
CCM hawafai hata kidogo elimu wameua twiga wameuzwa faru halikadhalika rushwa iko serikalini na ccm yao hatuna sababu kuwa nao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom