Chama cha magirlfriend Tanzania

Wamewasikia, ni kujitambulisha tuu na kutoa tarehe ya ndoa au na mahari juu.
Maana atajitambulisha halafu anapotea
 
Mi ningekua girlfriend ningetaka maua na dark chocolate tu...! Too bad siko kwenye chama ko ni mapema sana kutarajia utambulisho
 
Naomba kuuliza jamani hivi Valentine Ni siku wa Wapenzi/michumbio day Au nisiku ya Wapendanao wote including family members and friends? Nahisi sijaelewa hapo
 
Naomba kuuliza jamani hivi Valentine Ni siku wa Wapenzi/michumbio day Au nisiku ya Wapendanao wote including family members and friends? Nahisi sijaelewa hapo
Naona mleta mada kakurupuka, haelewi maana ya valentine, ye anafikiri ni kuhusu mambo ya mapenzi tu kumbe valentine ina mapana yake
 
Watu wamechoka kutafunwa tyyy bila ganzi. Poleni sana CHAMATA...
 
Back
Top Bottom