Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,284
- 70,694
Chama Cha Magirlfriend Tanzania (CHAMATA), kimetoa tamko lifuatalo, sisi magirlfriend Tanzania, valentine hii hatutaki maua, wala Iphone, wala lunch.
Tunasisitiza maboyfriend wetu siku ya tarehe 14 februari waje wajitambulishe kwa wazazi wetu na kutoa tarehe ya harusi.
Kauli mbiu mwaka huu ni ''Harusi kwanza, zawadi siku ya send off ''
(Mjumbe nimefikisha salamu)