masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
Mabaharia Originale hawana haja ya kupanic.Chama cha mabaharia wa ukweli, kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo.
Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya watu,hasa vijana kujiita mabaharia.Ubaharia huo umeonekana kutapakaa sana mitandaoni.
Chama hicho kimesema kitendo cha watu kujiita mabaharia,hakileti taswira nzuri.
Mabaharia wa kweli kutoa tamko: Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.
Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia
View attachment 1204537
Na wasikitikia endapo watatishia mabaharia wa nchi kavu kama sisi sijui wataishia kunyamaza maana hata kitaa wananita hivyo na ndio jina linanipa mlo wangu wa siku na kupata watoto wakale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeona eeeeh baharia mwenzangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wewe ni baharia??
Na wasikitikia endapo watatishia mabaharia wa nchi kavu kama sisi sijui wataishia kunyamaza maana hata kitaa wananita hivyo na ndio jina linanipa mlo wangu wa siku na kupata watoto wakale
Jamaa kakurupuka, anachosikitishwa na kukemea ni nini hasa!!? Yeye ni baharia wa majini na hawa wengine ni mabaharia wa nchi kavu! Hii ni sawa na watu kujiita marais ina maana Mzee Magu nae awamind lkn hawamind coz hawajiiti marais wa TZ bali kuna rais wa TFF,Manzese, Buza nk. Pia si kuna watu wanajiita makamanda, basi IGP Siro nae angemaind watu kujiita makamanda, lkn hamaind kwasababu hawajiiti makamanda wa Polisi. Hivyo Baharia wa majini atulie atuache mabaharia wa nchi kavu tufanye yetu.Chama cha mabaharia wa ukweli, kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo.
Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya watu,hasa vijana kujiita mabaharia.Ubaharia huo umeonekana kutapakaa sana mitandaoni.
Chama hicho kimesema kitendo cha watu kujiita mabaharia,hakileti taswira nzuri.
Mabaharia wa kweli kutoa tamko: Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.
Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia
View attachment 1204537
Chama cha mabaharia wa ukweli, kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo.

Jamaa kakurupuka, anachosikitishwa na kukemea ni nini hasa!!? Yeye ni baharia wa majini na hawa wengine ni mabaharia wa nchi kavu! Hii ni sawa na watu kujiita marais ina maana Mzee Magu nae awamind lkn hawamind coz hawajiiti marais wa TZ bali kuna rais wa TFF,Manzese, Buza nk. Pia si kuna watu wanajiita makamanda, basi IGP Siro nae angemaind watu kujiita makamanda, lkn hamaind kwasababu hawajiiti makamanda wa Polisi. Hivyo Baharia wa majini atulie atuache mabaharia wa nchi kavu tufanye yetu.
Wao mabaharia wa baharini.SISI mabaharia wa NCHI KAVU.
Mbona kuna marais wengi magu hajalalama.
Mbona kuna ma dr wenhi km manyaunyau,kifimbo lakin ma dr wa afya hawajalalama.
Anateseka nini na mabaharia kujiita mabaharia?
Ki ukweli maelezo yako yame make sense somehow.Wao mabaharia wa baharini.SISI mabaharia wa NCHI KAVU.
Mbona kuna marais wengi magu hajalalama.
Mbona kuna ma dr wenhi km manyaunyau,kifimbo lakin ma dr wa afya hawajalalama.
Anateseka nini na mabaharia kujiita mabaharia?
Haaaaaaaaaaa haaaaJamaa kakurupuka, anachosikitishwa na kukemea ni nini hasa!!? Yeye ni baharia wa majini na hawa wengine ni mabaharia wa nchi kavu! Hii ni sawa na watu kujiita marais ina maana Mzee Magu nae awamind lkn hawamind coz hawajiiti marais wa TZ bali kuna rais wa TFF,Manzese, Buza nk. Pia si kuna watu wanajiita makamanda, basi IGP Siro nae angemaind watu kujiita makamanda, lkn hamaind kwasababu hawajiiti makamanda wa Polisi. Hivyo Baharia wa majini atulie atuache mabaharia wa nchi kavu tufanye yetu.
Pita pembeni tuache mabaharia Wa nchi kavuBahari ni nini?
Baharia ni nani?
Baharia kama "slang" maana yake nini?
Je inasaidia chochote au kelele tu?
Note: Mi sijihusishi na matumizi ya neno Baharia kama vijana wengine.
Hahaha.. sawa baharia wa nchi kavu sijui boya lako lina msaada maeneo korofi ka kitongaPita pembeni tuache mabaharia Wa nchi kavu
Chama cha mabaharia wa ukweli, kimewajia juu vijana na watu wenye tabia ya kujiita mabaharia wakati hawana taaluma hiyo.
Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya watu,hasa vijana kujiita mabaharia.Ubaharia huo umeonekana kutapakaa sana mitandaoni.
Chama hicho kimesema kitendo cha watu kujiita mabaharia,hakileti taswira nzuri.
Mabaharia wa kweli kutoa tamko: Chama cha Mabaharia kimesikitishwa sana na kinakemea kitendo cha vijana wasio na vigezo kujiita mabaharia.
Chama hicho kimechukizwa na utani unaoendelea mitandaoni, kwasababu unaweza kuleta athari kwenye carrier ya ubaharia
View attachment 1204537
Hatutumii maboya mkuuHahaha.. sawa baharia wa nchi kavu sijui boya lako lina msaada maeneo korofi ka kitonga
Hahahaha logic mkuu hawa jamaa naona wanaingia kwenye mtego sijui kama watafanikiwa zaidi ndio watalipandisha jina juu [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]