macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,223
- 60,289
Haa haa. Mbona vijana wa mjini kujiita mabaharia ni mtindo wa siku nyingi sana? Nashangaa watu wanapagawa kama ni jambo jipya. Wapiga debe, wabwia unga, vijiweni neno ''sema baharia wangu' limeanza kutumika siku nyingi.mkuu wewe ni baharia??
ni kweli limetumika siku nyingi.Haa haa. Mbona vijana wa mjini kujiita mabaharia ni mtindo wa siku nyingi sana? Nashangaa watu wanapagawa kama ni jambo jipya. Wapiga debe, wabwia unga, vijiweni neno ''sema baharia wangu' limeanza kutumika siku nyingi.
Yupo muhishimiwa mmoja huwa anajinadi kuwa yene ni 'Bakharia' mstaafu.
Ni mmoja wa Mawaz....... wetu.
Nadhani MABAHARIA wa ukweli wangeanza kumkemea huyu kuweka mfano Mzuri iwapo kweli wanakerwa.
Haa haa. Mbona vijana wa mjini kujiita mabaharia ni mtindo wa siku nyingi sana? Nashangaa watu wanapagawa kama ni jambo jipya. Wapiga debe, wabwia unga, vijiweni neno ''sema baharia wangu' limeanza kutumika siku nyingi.
'Shekhe' unaniwekea maneno mdomoni na Kwenye maandishi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],una utani na Kigwangalla wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha logic mkuu hawa jamaa naona wanaingia kwenye mtego sijui kama watafanikiwa zaidi ndio watalipandisha jina juu πππππππππππUnajua roho zinawauma coz sisi mabaharia wengine tumekua mabaharia bila kusota saan na kukaa darasan mda mrefu.
Sasa shida yao na sisi tukapigike
Hahahaha logic mkuu hawa jamaa naona wanaingia kwenye mtego sijui kama watafanikiwa zaidi ndio watalipandisha jina juu [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]